Recent content by the future hope

  1. T

    Uchaguzi wa serikali za mtaa: Wakurugenzi watano wafukuzwa kazi

    Hakika huu ni uonezi kwasababu uzembe umeanzia ngazi za juu...nilikua Kwimba na nimeona hali halisi. Huu ni utaratibu wa serikali yetu kuwaacha SAMAKI na kuvua dagaa!!! Shame on you!!
  2. T

    Hear out my story/ sikia historia yangu

    Samahanini wana jamvi nilibanwa kidogo na majukumu nikashindwa kumalizia lakini simulizi ninayoenda kutoa si yangu bali ni ya rafiki yangu kwani imenigusa sana na nikatamani kushiriki nanyi.Ni msichana wa miaka 24 aliyemaliza masomo yake ya shahada ya sheria mwaka huu, japo katika changamoto...
  3. T

    Hear out my story/ sikia historia yangu

    Katika maisha kuna vitu tunavipitia ambavyo wakati mwingine huvunja moyo na kukatisha tamaa. Naomba uandike wakati mgumu unao pitia/uliowahi kupitia ili tutiane moyo na kushauriana. Pia story yaweza kumsaidia mwingine anepita ktk wakati kama huo. In the world we are living there are some ppo...
  4. T

    Chupuchupu Kubakwa, Ukimwi Ulinisaidia

    inawezekana hakuwa na lengo la kukubaka bt mavazi yako ndo yaliyompa hayo mawazo...WASICHANA JIFUNZENI KUVAA ESPECIALLY UNAPOKUA MAZINGIRA HATARISHI.....
  5. T

    Kituko cha mwaka 90

    Hivi ulishawahi kwenda ugenini ulivokua mdogo alafu ukajikuta umekojoa kitandani jinsi huo usiku unavokua na heka heka.......???? Usitake kujua kilichotokea....
  6. T

    Kituko cha mwaka 90

    hahahaha we best huenda ulikua unataka maji ya uzima mchungaji hakujua tuuuu....duh lakin ulitisha maji ya kunywa kanisan!! kama nakuona vile hahahaha
Back
Top Bottom