Recent content by The frog horn

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwadui FC Vs Simba SC

    Leo msemaji wenu nadhani atapokea! Maana juzi kati hapo aligomea kupokea simu ya RADIO ONE michezo saa 19:30
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mwadui FC Vs Simba SC

    Hao wa matopeni wapigwe tu, hakuna lugha nyingne ya kusema hapo!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Tanzania Bara: Mbao FC yaitandika Simba SC kwa goli 1-0

    Msemaji wenu amegomea kupokea simu ya RADIO ONE.!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Yanga SC vs Coastal Union

    Hawa Coastal ni kichapo tu hamna cha ziada! Ila kwenye mziki watashinda!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

    Wewe ni Chelsea bila shaka
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni timu gani ya soka ikifungwa huwa unapata furaha?

    Man utd , Arsenal, Real Madrid zikifungwa huwa nafrahi sana
  7. T

    JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa Hakuna Rekodi Atakayoiacha Salama!

    Umehamia Kwa Kagere tena? Vipi Okwi? Huyo Magere wako usimwamini asbh hiii, ndio mech mbl kacheza.lig ndio imeanza. Huyo Kagere wa kawaida sana
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tujikumbishe baadhi ya sajili mbovu kuwahi kutokea kwenye Soka

    Nionzima (Yanga)free - Simba (Wamatopeni FC) Giroud (arsenal)-Chelsea
  9. T

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Simba SC afungiwa mwaka mmoja kwa kuihujumu Taifa Stars

    Safi sana, angefungiwa hata Karne moja kabsa .
  10. T

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Leo mtapigwa tu! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha kubet Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom