Recent content by The DR10

  1. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya IMF: Mamlaka za Tanzania zimegoma kutoa kibali cha kuchapisha data za uchumi

    Sio Pesa za ndani nawakati tunakopa benki za ndani na pia kuna misaada kutoka WB na taasisi zingine za nje
  2. T

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Tanzania Job Y. Ndugai atazungumza na waandishi wa habari kesho tarehe 14.04.2019

    Kama kweli anaongea basi itakua kujibu hoja z CAG au kueleza kuwa riport ipo bungeni ila hawaifanyii kazi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Meya wa Ilala, Charles Kuyeko(CHADEMA), ajiuzulu Udiwani na kujiunga CCM

    Safari ya kaanani ni ngumu sana
  4. T

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Hakuna jipya ni yaleyale chini ya jua
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ajiuzulu Uenyekiti wa Kamati ya Maliasili na Utalii

    Yule bundi wa bunge live bado anamfata huyu jamaa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro atangaza kuachana na chama hicho! Ajiunga na CCM

    Hivi yajayo yanafurahisha au yanahuzunisha.......
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sekeseke la uhuru na haki ya kutoa maoni

    Mwaka wa 2017 umeisha kukiwa na matukio mengi ya wanasiasa hasa wabunge na madiwani kuhama vyama vyao. Huenda pia mwaka huu matukio kama hayo yakatokea tena kuliko hata ya mwaka jana. Nimekaa na nikiwaza na nashindwa kupata majibu ya kina. Wanasiasa hawa wanapohama watu wengi husema ni haki...
  8. T

    JamiiForums Tanzania TCRA yavipiga faini Vituo vya runinga ya Tsh. Mil 60 kwa kukiuka maadili ya uandishi na kutangaza habari za kichochezi

    wadau nauliza hivi kakobe nae alitoa habari za uchochezi? maana nadhani huenda pia wakamshushia rungu....
  9. T

    JamiiForums Tanzania TCRA yavipiga faini Vituo vya runinga ya Tsh. Mil 60 kwa kukiuka maadili ya uandishi na kutangaza habari za kichochezi

    kosa kubwa kwa kila kituo ni habari za uchochezi......sasa zinachochea nani na nani? lakini kwa nini mamlaka zinatafasiri maoni ya watu kama habari za uchochezi?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    Y YUPO KWENYE CATEGORY GANI??????.................
  11. T

    JamiiForums Tanzania Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

    n NANI KASEMA ANADHAMBI?
Back
Top Bottom