Recent content by The Cult

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu utamnusuru binti huyu dhidi yangu

    [emoji23][emoji23][emoji23]....Nani anaanzisha ubeti wa kwanza wa wimbo wa Taifa...!?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nimekula Mwanamke asiyehusika. Ni mtamu sana

    Umeshauziwa kioo mkuu ukidhani almasi....Binti kajifanya na yeye mgeni kama wewe...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

    Apitie kwangu afanye field then aje kwako kukagua ubora.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Watanzania wengi kupenda kusalimiwa!

    Haujajibu swali lake vizuri,mkuu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Watanzania wengi kupenda kusalimiwa!

    Millennials wakianza kupata vipesa vinaanzaga kuwa vizungu mkuu....heshima kwao inapimwa kwa mafanikio...kujuliana hali ni kupoteza muda wa kutengeneza pesa zaidi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Watanzania wengi kupenda kusalimiwa!

    Kujuliana hali ni privacy?labda nimekuelewa tofauti mkuu.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Watanzania wengi kupenda kusalimiwa!

    Uzungu mkuu....watu wapo bize,dakika moja inawaondolea muda wa kufanya kazi.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Watanzania wengi kupenda kusalimiwa!

    Mkuu, umeshapoteza dakika 30 ngapi!?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

    Mtu akijua udhaifu wako ndio inakuwa sehemu ya kukunyanyasa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

    Hapo upo sawa....
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

    Kama humpendi,ipo likely kumfanyia hivi.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

    Ukiona mpenzi wako haurumii uchumi wala tatizo lako lolote ,tambua hakupendi...is there for their own benefit. Kwa mwanaume angalia sana kitandani kama kupo sawa.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu ex wangu bado ananipenda au!!?

    Hiyo so called "public hair" itakuwa inatumia Gillette.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ukipata fursa usiiache kisa mwanaume uliyenaye

    Infact, mwanamke kuwa na mafanikio ni jambo jema sana lakini imekuwa tatizo kubwa sana kwenye taasisi ya ndoa..
Back
Top Bottom