Recent content by The Consult

  1. The Consult

    Changamoto kwa Asasi za Kiraia (CSOs) katika upatikananji wa Ruzuku

    Asasi za Kiraia (CSOs) ni wadau wakubwa katika maendeleo kwa nyanja zote; kiuchumi, kijamii, kiutamaduni na hata ki-teknolojia. Wafadhili (donors) hutumia Asasi za Kirai kama njia (channel) katika uwekezaji wa rasilimali fedha (investment) Bahati mbaya sana, Asasi nyingi hazina ufahamu namna...
  2. The Consult

    Hatua katika uandaaji wa andiko la mradi (Project Proposal)

    Mkuu. Ufadhili kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi unapatikana, ila ; wafadhili wengi (karibia 95%) hutoa ufadhili kwa Miradi inayotekelezwa chini ya mwamvuli wa Taasisi. Ufadhili mchache sana hupatikana kwa Miradi inayotekelezwa na mtu mmoja mmoja. Pia ili kuongeza uwezekano wa kupata huo...
  3. The Consult

    Wajibu wa Biashara/Kampuni kwa Jamii (Corporate Social Responsibility)

    Corporate Social Responsibility (CSR) kwa kiasi kikubwa husaidia kujenga 'BRAND" ya biashara yako, ambayo in a long-run itakuletea faida kubwa.
  4. The Consult

    Ni Wakati Gani Unapaswa Kumtumia Mshauri wa Kitaalamu katika Biashara Yako?

    Mkuu. Bei inategemea na aina ya Biashara yako, pia package ya huo ushauri unaoutaka. Wakati mwingine, ushauri huweza kuambatana na "report" juu ya soko la hiyo biashara yako n. k Kwa mawasiliano zaidi, tuwasilieni kupitia namba za simu hapo juu. Karibu Sana Mkuu.
  5. The Consult

    Ufuatiliaji na Tathmini ya Mradi (Project Monitoring and Evaluation)

    Ufuatiliaji na Tathmini (Monitoring & Evaluation) japo ni hatua za mwisho katika utekelezaji wa Mradi, hazimaanisha UTAMATI wa mradi. TATHMINI ya mradi inapofanyika na kuonyesha kwamba Mradi haukuweza kufikia malengo yake, hapa mchakato unarudi tena kwenye hatua ya PROBLEM IDENTIFICATION. Lengo...
  6. The Consult

    FURSA YA RUZUKU KWA ASASI ZA KIRAI TANZANIA

    Thanks Mkuu. Nitakutafuta.
  7. The Consult

    FURSA YA RUZUKU KWA ASASI ZA KIRAI TANZANIA

    1. TANZANIA FOREST FUND. Ruzuku: Tsh 5 Mil Eneo: Uhifadhi wa Misitu, Uboreshaji wa Maisha ya Watu Waishio Pembezoni mwa Misitu n. k Chanzo Cha Taarifa : www.forestfund.go.tz 2. THE MCLAIN ASS FOR CHILDREN Ruzuku: Tsh 17, 235,000 Eneo: Kuwajengea Uwezo Watu Wenye Ulemavu (PWDs) , kuboresha...
  8. The Consult

    Ufuatiliaji na Tathmini ya Mradi (Project Monitoring and Evaluation)

    Usimamizi wa Mradi (Project Management) hufanyika kwa lengo la kuhakikisha kwamba mradi unatekelezeka kwa namna ulivyokusudiwa (as designed) ili kuweza kufikia malengo mahsusi yake (specific objectives). Utimilifu wa usimamizi wa mradi (Successful Project Management) kwa kiasi kikubwa hutegemea...
Back
Top Bottom