Recent content by The Conscious

  1. The Conscious

    Kupanda Ligi Kuu kwa timu ya KenGold inadhihirisha kwamba Mbeya ni mkoa wa soka na Vipaji. Kwanini Serikali haijengi uwanja wa kisasa Mbeya?

    Serikal imebugi sana kuupeleka uwanja wa soka kwa wamaasai huko,bora wangeujenga mbeya,moro,au dom Wamaasai na mpira wap na wap mikoa ya mbeya,iringa,songea huko kuna vipaji vingi sana kama uwanja ungejengwa hata mbeya basi ingekuwa chachu ya vijana kujituma katika soka na kupata ajira
  2. The Conscious

    Twende mbele, turudi nyuma: Nchi za wenzetu zilizoendelea wanapiga kazi

    Nchi za wenzetu ni kama wapi maan zipo nyingi,ungeweka mfano ili tuelewe..
  3. The Conscious

    Dege Village, Kigamboni, waliokula na kuufisadi mradi huu hawajulikani, mradi umebaki magofu!

    Hiyo siyo ishu ya sifa,jamaa kasema wazi kwamba mwendazake alijua anaweka pesa kwenye mradi ambao mtu binafsi ndyo mnufaika mkuu,kama ni kweli alikuwa sawa kuutelekeza
  4. The Conscious

    Serikali: Maombi ya Simba yalikuwa makubwa sana, tutawapa Tsh 42M kawa wenzao

    Dah hizo zote ni hasara tu hakuna cha simba wala yanga hiyo pesa yote mbona kuna mambo mengi ya muhimu ya kufanya. Haya hapo vi vilabu viwili mwakani zikienda timu nne muyakumbuke haya mnayoyafanya na vilabu vingine vitakavyoshiriki mashindano ya caf
  5. The Conscious

    Hivi umeshawahi kujiuliza kuhusu Namba Saba

    Hiyo ni kwa binadamu wa kiume na wa kike Au wa kiume peke yake,vipi kuhusu binadamu wa kike mim huwa najua anamatundu nane kwa kuzingatia hoja yako umehesabu sehem ya kutolea mkojo kwa mwanaume pia mwanamke anayo ya kutolea mkojo
  6. The Conscious

    Wakuu hivi league ya NBC IPO ama imefutwa

    Hakuna game za nbc plemier league leo mkuu,zilizopo ni za kombe la shilikisho la azam Namungo vs kagera sugar
  7. The Conscious

    Try Again: Tunaenda kupata ushindi Misri.

    Jamaa ni mwehu itakuwa,anaongeaje upuuzi hadharani !! Anazungumzia bahati kwenye soka kitu ambacho hakipo kabisa
  8. The Conscious

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Hata wewe ukitaka kocha anaweza kukuingiza
  9. The Conscious

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Daah yan noma sana ila wachezaji wamejitahid ingawa tumefungwa lakin jitihada tumeziona
  10. The Conscious

    Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

    Mkuu hii kauli yako mwanzoni nilikuwa naipuuza,Ila juzi baada ya kuona jamaa tunafanya nae kazi kapewa task na mkuu wa kitengo aikamilishe akasema sawa,akatoka nje kakutana na mafundi wanarekebisha majengo ya kazi wakaanza kubishana mpira, Wakati huo huo ndiyo tulikuwa tunasubiri kazi yake...
  11. The Conscious

    Jana nimeota mechi ya ugenini Yanga anashinda 1-2 na nyumbani 2-1

    Yaani mkuu haya mambo ya mpira kwa wasiojielewa ni kama ugonjwa au wendawazimu kuna watu hawajali muda wa kazi au vitu muhimu wenyewe ni kubishania mpira tu
  12. The Conscious

    Kiroho zaidi: Wazee mliopewa mechi ya Yanga kumbukeni sfaili hii ya ulozi ya kubadilisha jina la mpinzani

    Kuhusu tarehe 20 ulioiweka hapo ni sawa matokeo utayajua wewe maana mechi umeicheza wewe kwenye maono yako, Ila tarehe 30 ni Yanga na mamelodi..
  13. The Conscious

    Kwanini vijiji vingi vya usukumani havina wezi kama kwingineko?

    Mkuu ni kweli kabisa,Vijana wa huku kijijini wengi wanafanya kazi hasa za kilimo hawana tamaa na pesa za wizi au uonevu japo wapo lakini siwezi linganisha na sehem nliyokuwa naishi mwanzo kabla ya kuhamia huku..
  14. The Conscious

    Itatafsirikaje picha au video polisi Tanzania wakimdhibiti shabiki aliyevaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly?

    Naona wadau mnashauri kumpuuza ,Ni sawa ila ni bora Yeye mwenyewe atengue kauli yake kwanza Vinginevyo tutakuwa tunadharau kauli ya kiongozi ambaye yupo hapo alipo kama muwakilishi tu wa Rais otherwise,Rais mwenyewe amtengue bwana ndumbaro kwa kuongea mambo ambayo yanaweza yakaleta athari za...
  15. The Conscious

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Alilia Serikali Bei ya Mahindi

    Mkuu ni kwel wananunua mbegu kilo 2 kwa elf 2 au ni typing error tu, Serikal inabid ifanye namna maan mahind saiz hayana bei kabisa wakulima lazima walie
Back
Top Bottom