Recent content by THE COMMISSIONER

  1. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda azidi kulikoroga huku CCM ikiwa Maji ya Shingo UKONGA

    Imegundulika kuwa anaumwa ugonjwa wa CHADEMA- Phobia
  2. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda azidi kulikoroga huku CCM ikiwa Maji ya Shingo UKONGA

    BAVICHA wamekufanya ukawa mwehu ehee! Hapa BAVICHA imetoka wapi?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda azidi kulikoroga huku CCM ikiwa Maji ya Shingo UKONGA

    Baada ya CHADEMA Jimbo la Ukonga kunyakua viti 10 vya serikali za mitaa uliofanyika tarehe 14.12.2014 kutoka viti 2 iliyovipata mwaka 2009, na baada ya kuunyakua mtaa wa Guluka Kwalala anakotoka Meya wa Manispaa ya Ilaa Jery Slaa, na baada ya kuunyakua mtaa wa Kigogo Fresh A mtaa wa karibu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa viongozi BAVICHA taifa kufanyika tarehe 10 Septemba, 2014

    We pimbi sikia, mtu anang'atuka kwa sababu mbali mbali na kwa HECHE hiyo iliyosema ndio yake. Nyooooo!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa viongozi BAVICHA taifa kufanyika tarehe 10 Septemba, 2014

    Sio ACT ni viroba
  6. T

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa viongozi BAVICHA taifa kufanyika tarehe 10 Septemba, 2014

    BAVICHA itayamis sana haya majembe ambayo hajamaliza hata miaka mitatu tangu wakabidhiwe dhamana. Washawapoteza UVCCM kwenye uwanja wa mapambano. Hongera kamanda Heche, hongera kamanda Munishi na wenzenu wote. Mmetupa uongozi bora na tunaamini watapatikana wengine wakuendeleza kazi mliyoianza
  7. T

    JamiiForums Tanzania Polisi wasambaratisha mkutano wa CHADEMA wa Uchaguzi kata ya Moshono, Arusha

    Wewe mwenyewe umecomment kishabiki zaidi na tunakuomba punguza munkari
  8. T

    JamiiForums Tanzania Munishi amgonga Rais Kikwete na CCM

    Yaani wewe umeona mapenzi hapa sio?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Munishi amgonga Rais Kikwete na CCM

    Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Deogratias Munishi amemnanga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete kuwa ameidhooifisha hadhi ya ikulu kiasi kwamba hata vichaa wangependa kuwa marais wa nchi Pia Munishi ameuambia umati wa watu wa kata ya Majohe Jimbo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti Zanzibar (CHADEMA) aandaliwa kwa majukumu mazito

    Inaelekea ulivozaliwa tu siku tatu baadae mama yako alikuangusha chini na ukadondokea kichwa na hivyo ubongo wako akaathirika mpaka leo. Pole sana ilikua ni ajali mbaya iliyokupata wakati huo na bahati mbaya mama yako hajawahi kukuadithia hili
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CHADEMA Dar es Salaam Leo: Mnyika Mbezi kwa Msuguri Ubungo; Munishi - Majohe, Ukonga

    Kama umedhamiria wala hutochelewa. Ukichelewa habari utazipata kwenye bomba kwa hiyo usijali
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya CHADEMA Dar es Salaam Leo: Mnyika Mbezi kwa Msuguri Ubungo; Munishi - Majohe, Ukonga

    Wakati John Mnyika Mbunge wa Ubungo na mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA atakua akiunguruma kwenye mkutano wa hadahara utakaofanyika leo Mbezi kwa msuguri, Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Deogratias Munishi atakua akiitetemesha Ukonga eneo la Nyebulu kata ya majoe...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Sixtus Mapunda (Katibu Mkuu UVCCM) amvaa Lema Arusha

    Hivi Umoja wa Vichaa wa Chama cha Majambazi una viongozi? Kama wapo ndio hawa wanaoonekana kama wala unga vile?
  14. T

    JamiiForums Tanzania CCM ni wa ajabu sana

    Chama cha kisanii kinazalisha serikali ya kisanii na viongozi wasanii.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aagiza shule zote za kata nchi nzima kuwekewa Umeme haraka!

    Mropokaji tuu. Bajeti ishapangwa na kupitishwa. Hakuna kipengele chochote kilichokuwa kikielekezwa kwenye maabara kwa shule zote za kata, vituo vya afya n.k. Msanii anaongoza serikali ya kisanii kwa usanii
Back
Top Bottom