Recent content by The Chosen Liberator

  1. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Consistency prayers inavyofanya Mungu atatue shida yako

    Yesu ni njia , kweli na uzima
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Uislamu unafundisha mtiririko wa manabii 25 na wewe unasema uislamu unataja manabii wanne.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Amen Amen. Hapo tunakwenda sawa.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    karama zote za nabii, mwalimu, na mchungaji zilikuwepo ndani yake, lakini zinatoka kwenye asili yake ya kipekee ya Uungu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Nitajie sifa za nabii.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Amefanya kazi za kinabii pia.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Consistency prayers inavyofanya Mungu atatue shida yako

    Yesu ni njia , kweli na uzima.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Yesu ni Mungu. Yesu anakuja duniani kama mwanadamu akiwa na karama zote ikiwemo karama ya Unabii. Yesu ni nabii wa mwisho duniani kwasababu alikua na Sifa zote za kinabii. Tatizo watu wengi wameathiriwa na ubishi wa kidini (Haswa waislamu wanaodai Yesu si Mungu bali ni nabii tu). Yesu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Hapana, Inatakiwa auache kama kumbukumbu ya Ushahidi wa alikotoka baada ya kumpokea Yesu. Ili wengine kama yeye wapakwe mafuta kupitia hilo.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hasa tafsiri ya Nabii Katika Agano Jipya

    Habari yako Mtumishi wa Mungu. Yesu hakusema kwamba Yohana mbatizaji ndiye nabii wa mwisho, Nafikiri umeelewa vibaya ile Luka 7:27 — “Kwa kuwa huyu ndiye nabii aliyeandaliwa, na mimi kusema kweli, hakuna mwingine aliye kama yeye wa kuzaliwa na wanawake.” Hii inamaanisha Yohana alikuwa nabii wa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Consistency prayers inavyofanya Mungu atatue shida yako

    Habari yako wewe unayesoma uzi huu muda huu. Leo ni siku nyingine Bwana Mungu ametupa nguvu ili tuendelee kupambana kuutafuta Uzima wake na kupata amani ya kweli ndani ya mioyo yetu. Hatuna budi kumshukuru Mungu kwa neema hiyo. Leo ningependa kuzungumza kuhusiana na fundisho hili la kiroho...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mungu, ila kuna nguvu ya asili ambayo haina ukomo wala mwanzo

    Neema ya Mungu ipate kukuangazia kwa Jina la Yesu Kristo. Amen.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Utatu ni wa majukumu si mamlaka. Yesu ni Mungu lakini si Mkuu kuliko Baba

    Don't explain this emotionally. Explain this while refering to bibble quotes. 2 TIMOTHY 4: 3-4. For the time is coming when people will not endure sound teaching, but having itching ears they will accumulate for themselves teachers to suit their own passions, and will turn away from listening...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Utatu ni wa majukumu si mamlaka. Yesu ni Mungu lakini si Mkuu kuliko Baba

    Nakuombea neema ya Mungu ipate kukuangazia katika kuijua kweli yote in Jesus name - Amen.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Utatu ni wa majukumu si mamlaka. Yesu ni Mungu lakini si Mkuu kuliko Baba

    Nani kasema Mungu ana mtoto?
Back
Top Bottom