Recent content by The celebrity

  1. The celebrity

    JamiiForums Tanzania Gravity ni Nini? Imetokea Wapi?

    HISTORY OF GRAVITY: WHY THINGS FALL? Tunaishi chini ya ushawishi wa gravity kila sekunde. Unapodondosha simu, inashuka chini. Unaporuka, unarudi ardhini. Mwezi unazunguka Dunia. Dunia inazunguka Jua. Lakini swali ni: GRAVITY NI NINI HASA? Jibu la swali hili limebadilika sana katika historia...
  2. The celebrity

    JamiiForums Tanzania Identity ya mtu — wewe ni nani hasa?

    IDENTITY YA MTU — WEWE NI NANI HASA? Swali linaonekana rahisi: “Wewe ni nani?” Jina lako? Mwili wako? Kumbukumbu zako? Personality yako? Au kuna kitu kingine kinachokufanya uwe wewe? Twende deep. Fikiria umeingia hospitali na kuna mtu anayefanana nawe kabisa. Ana DNA yako, uso wako...
  3. The celebrity

    JamiiForums Tanzania Scientific fact na knowledge Thread

    IDENTITY YA MTU — WEWE NI NANI HASA? Swali linaonekana rahisi: “Wewe ni nani?” Jina lako? Mwili wako? Kumbukumbu zako? Personality yako? Au kuna kitu kingine kinachokufanya uwe wewe? Twende deep. Fikiria umeingia hospitali na kuna mtu anayefanana nawe kabisa. Ana DNA yako, uso wako...
  4. The celebrity

    JamiiForums Tanzania Why even light can't escape in black hole horizon?

    Kumbuka kwenye black hole gravity ni kubwa sanaaa, Kwa maana ya kwamba space time inakuwa imebend sanaaa to infinity. Kama tunavyojua sehemu yenye gravity kubwa zaidi au black hole time inakuwa slow and slower zaidi kiasi kwamba kwa observer wa nje ataona Kama hausogei. Na ukizidi kusonga...
  5. The celebrity

    JamiiForums Tanzania Moto unawaka kwa sababu kuni haijaisha. Kuni ikiisha moto unaisha. Je! Kuni kwa yenyewe ni moto!

    Anadhani akili ni kitu wakati ni matokeo ya mchakato, kwamba maamuzi utakayochukua, au hoja utazotoa, au msaada utakaotoa katika Jamii inayokuzunguka n.k Ndio vinadetermine uwezo wako wa kiakili
  6. The celebrity

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    Aisee!! Kwanza Kwanini unataka waoneshe jua?
  7. The celebrity

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    Umeona ndio ukauliza ukapewa explanation juu ya ulichouliza, unataka Nini Tena?😂.
  8. The celebrity

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    But it's according to AI, so issue ni kusoma na kuelewa,
  9. The celebrity

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    Kwanini Hawajatua na Kuweka Bendera? Hapa ndipo kuna utofauti wa kimisheni: Artemis II: Ni misheni ya kuzunguka tu (Flyby) ili kujaribu mifumo ya maisha (Life Support) kwa ajili ya binadamu. Hawakukusudiwa kutua. Artemis III: Hii ndiyo misheni iliyopangwa kutua mwezini (Moon Landing), ambayo...
  10. The celebrity

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    According to AI; Soma uelewe. Maswali yako ni ya msingi na yanagusa maeneo muhimu ya fizikia na teknolojia ya anga. Ili kuelewa kwanini unachokiona kwenye video za Artemis kinaonekana tofauti na matarajio yako, ni lazima tuangalie kanuni za kifizikia zinazotawala anga za mbali: 1. Kwanini...
  11. The celebrity

    JamiiForums Tanzania Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images

    Kama nilivyosema mwanzo kilichofanyika ni branding tu hasa kwetu sisi ambao wengi wetu tulikuwa hata hatujui hiyo 'getty image' na hii sio Mara ya kwanza picha ya diamond kuuzwa kwa bei hiyo hiyo getty image. Kwenye Tuzo za BET ambazo diamond alikuwa nominated for the first time pia picha zake...
  12. The celebrity

    JamiiForums Tanzania Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images

    Ndio ni msanii wa kimataifa but ukimlinfanishs na hao uliowataja bado bado asee lkn pia hata bei za picha za hao uliowataja ni Ile Ile Sawa na ya diamond [getty image].
  13. The celebrity

    JamiiForums Tanzania Picha ya Diamond Platnumz aliyopigwa Summer Jam 2025 yauzwa pesa ndefu, TSh Milioni 1.3 na Getty Images

    Ni kweli bro! Lakini tujiulize ni msanii gani kutoka Tanzania ama East Africa picha yake ilishawahi kuwekwa sokoni[Gettyimage] kama Diamond? Ama kama yupo je kwa gharana gani? Issue hapo ni branding kwa diamond ni kitu kikubwa[kwa upande Wetu east africa] Lakin ukisema umlinganishe na wasanii...
Back
Top Bottom