Bajeti ingekuepo Nchi ingetakiwa kuwa na HOSPITAL ya kutibu Viongozi NYETI tu
Isiyojulikana, mbali na Hospital tukiongelea IKULU ilipaswa iwe ni jengo lenye mazaga zaga yote.
Rais anamaliza kila kitu ikulu akitoka mule ni either MAITI tukazike au Kapewa TRANSFER nnje ya Nchi lakini TRNSFER ya...
Ile ni MISSION PLANED na ndio mana tunasema nchi zetu za Africa hatujawekeza Bajeti katika ULINZI wa ma RAIS bado kuna Loopholes nyingi ambazo MAFIA wakiamua wanazitumia kama ya MZENA.
Samia anaweza tumia mitutu yote ya silaha binafsi usimuone pale alipo kuna namna yupo fiti.
Ila kurusha ngumi ndio hawezi ila yeye kama yeye kukubatua hakukosi akishika chuma.
Rais ana mafunzo ya siri mengi
Hawachoki hao wanapumzika usiku vizuri tuwakishamuingiza rais ndani wanaenda pumzika..
Kwa mchana wanatumia vinywaji vya kuwaeka.ACTIVE yeye na Rais hutokaa uaaone wanasinzia hata kama tukio litaanza asubuhi hadi usiku saa 1 hawasinziii maana wana booster
Hamna ulinzi wowote hao ni kwa ajili ya kumdaka rais akijikwaa,ukitaka dondoka kwa ugonjwa,uchovu nk ila hao sio wa ulinzi direct kama tudhaniavyo.
Lakini pia ni mtu ambae anakua tayri kwa ajili ya kupokea maelekezo ya kitaalamu/usalama namna ya kumwokoa Rais endapo itatokea ambush.
Assume...
Waza Upya kifo sio adhabu yani uteseke miaka yote unawaza cha kumfanyia halafu uende mpa shortcut ya Pumziko?
No way,waza vizuri mtie Ulemavu mmoja mtakatifu akikutana na watu wanamchangia pesa bila yeye kuwaomba..
Hiyo ndio adhabu Make Sure HAFI ile mateso na maisha mapya ya ile utachomfanyia...
Usimu UWE mpe ulemavu wa kudumu hata ukipatwa na la kupatwa utafungwa utatoka ila usimrahisishie adhabu.
Mpe Kitu akikiangalia ana enjoy halafu baada ya miaka mtembelee unampa HAIIIIIIIII
Alikua serious na sikuweza tamani wala.kutaka mkera.
Mjini hapa sikua na ndugu wakunisaidia tatzo lolote endapo ningepata janga, nilimuona kama mzazi,ndugu japo aliniona kama mpenzi wake.
Sikua tayari kumpoteza kwa uzembe wowote ule its okay nilikubaliana nae kwa amani kabisa.
Mkuu Wanaume tukiwa Wema Amini usiamini hawa wanawake Malipo ya wema wetu ni utaonekana CHOKO tu siku 1
Kama sio leo basi kesho ila hutokaa uonekane Ulikua Bora...
Dadaz..tuwaache Dunia ina wa favor kwa kila angle.
Binti mmoja alikua mpenzi wangu, Huyu dada alinisaidia MSALA wa kupelekwa JELA sio chini ya miezi 6 au Mwaka ila alisaidia nikaachiwa ile kesi bila kujua hata alichofanya.
NIliogopa kumuuliza maana nlikua nahisi WHAT IF AKINAMBIA kalala na mpelelezi wa kesi yangu? Ukweli sikuwahi muuliza hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.