Recent content by the boy plunger

  1. the boy plunger

    JamiiForums Trump ashindwa kukumea ugaidi wa Neo-Nazi

    jamii za wamarekani wanaoishi kwenye hizi southern states zina matatizo sana,wanaoan wazungu wa south kwanza kabisa wanaitwa REDNECK,wanatabia za ajabu ajabu sana mfano kuaona ndugu kwa ndugu af pia south ndio kwenye wazungu maskini sana,wakati north wanaanza kuindustrilize hawa majamaa walikua...
  2. the boy plunger

    JamiiForums Uzi maalum wa wanywaji pombe

    kama tanzania ingepunguza kodi inayotoza kwenye beer na baadhi ya vilevi vingine kuna baadhi ya beer zetu zingevuka border kwa wingi na mapato yangeongezeka sana.
  3. the boy plunger

    JamiiForums Uzi maalum wa wanywaji pombe

    swali zuri kweli hili..mi nadhani jamii yoyote ya asili ya eneo husika lazima wawe na pombe za kienyeji lakini kwa kua wazanzibar wengi ni uzao wa watumwa na wapokeaji wa dini ya kiislam sidhani kama watakua na pombe za kienyeji.
  4. the boy plunger

    JamiiForums Uzi maalum wa wanywaji pombe

    safi sana mkuu
Back
Top Bottom