Recent content by the bits

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Niliyoyasikia njiani nilimopita kumhusu Magufuli

    Nguruvi3 unachosema si kibaya, mm naona si kama hakuna sheria, kanuni na taratibu za kuendesha nchi. Suala lililopo kwanza ni kukumbusha kuwa tuache kuendesha serikali na taasisi zake kwa mazoea. Tunahitaji kubadilika kwa wakati huu wa uongozi mpya na nadhani kinachofuata ni kuimarisha mfumo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    Sidhani kama mchambuzi uliishawahi fanya kazi serikalini na kuona hivyo vitu unavyosema vinatekelezwaje
  3. T

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    Umemaliza kila kitu hapo
  4. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, achana na lugha za kufunda, anza na kasi ya Hapa Kazi Tu

    Kasumba ya baadhi ya binadamu nikutaka watu wote wafikiri kama wanavyofikiri wao na kutenda kama watendavyo au waonavyo wao, hii haiwezekanani ni vema kuvumiliana na kupeana myda katika baadhi ya utekelezaji wa mambo muhimu ya kitaifa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu please, acha kumuibia Lowassa!

    Uko vzr sana, ili umwelewe ni vema kujaribu kuweka hisia zetu za vyama pembeni na kujaribu kuvaa uhusika kwa kila upande ndio utapata nn alichokusudia
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Ndege ya abiria Dodoma Dar ipo kaka
  7. T

    JamiiForums Tanzania Huyu Dereva tax atanivunjia ndoa yangu, nifanyeje?

    Mnaweza sema kila aina ya maneno hapo cjui kama atasikia tayari kapepo kauzinzi kameishamshika na God fearing wake yanaingilia kushoto yanatokea kulia tu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atua Bandarini, Pepo la kukwepa kodi lafikia tamati

    Bado kazi ni kubwa sana
Back
Top Bottom