Recent content by The Big Panya

  1. The Big Panya

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane hints na namna ya kulea mabinti zetu katika hizi nyakati zilizo na kasi sana

    Mbinu zangu: IMANI Kumfundiaha neno la Mungu aelewe ulimwengu. ELIMU kumfundiaha mazuri na mabaya ya ulimwengu. MALENGO kusapoti malengo ya maisha yake. UTOTONI kabla 18yrs namtafutia nesi awe anamkagua kama ni bikira? MASHARTI afanye nini na nini akifanya namlaani!
  2. The Big Panya

    JamiiForums Tanzania Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

    Sababu gani wanaume wanakuwa gays na kutembea mtaani? Mbona wengine hatushawishiki kuwa hivyo?
  3. The Big Panya

    JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga ni mbaya sana. Uongozi wa Club MMEZINGUA

    Mtoa mada ungefanya watu wapige kura ! Nafikiri tungepata thread ya maana bruh!
  4. The Big Panya

    JamiiForums Tanzania Nime install app ya X (Twitter) lakini haifunguki. Msaada

    Nashindwa kuelewa kwanini app hii inaishia ku loading sana bila kufunguka? Au bado imefungiwa?
  5. The Big Panya

    JamiiForums Tanzania Ni sawa mzazi kujua kiwango cha mshahara wangu?

    Inategemea utamaduni wenu.
Back
Top Bottom