Sioni sababu ya Yanga kufanya sajili nyingi. Kikosi cha Yanga wanaoanza first eleven ni mtiti, walioko nje nao ni mtiti… Sasa unaowasajili wanakuja kufanya nn[emoji23][emoji23][emoji23]. Mchezaji aliyeondoka na alikua kidogo anaanza ni Kisinda, Labda kama kuna pengo kaliacha hapo nitaona umuhim...
mbona siwaelewi, mlianza kwa kusema namba sita ni mkude, baadae mkasema Ni ngoma wa Al hilal. Sasa hv kawa mchezaji wa Asec tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnyama aligonga sana mlango wa Nusu fainali zaidi ya mara nne ila Wahuni na Masela wakamwambia sogea tuvunje mlango tuingie, hakuna Masterkey kwenye kufuri la Solex ni tindo na mateke tuzame ndani.
Karibu kwenye Jamhuri ya Wahuni na Masela
By Farhan
Habari zenu ndugu!!
Naomba kwa yeyote ambae anaweza kuniuzia viti vya barbershop (used)
Au mwenye connection ya wap naweza kupata hvo viti lkn used bas tuwasiliane.
Bajeti yangu kidogo imeyumba ndio maana ninatafuta used na sio vipya
Habari ya kushtua ni kwamba kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula anaweza asisimame langoni kesho saa 11:00 jioni dhidi ya Yanga katika pambano la Kariakoo Derby.
Kipa huyo namba moja wa timu ya taifa, bado hajaanza mazoezi hadi jana jioni
Hivi kwanini kila mwanasimba anaeandika mada kuhusu mechi lazima azungumzie uchawi? Kwanini mashabiki wa team yetu wanaamini sana ushirikina?
Sijaona kabisa wapinzani wetu wakiandika mada za kishirikina kuhusu hii game. Daah kuna vitu vingine ni aibu hata kuviongea, tunajiaibisha
Manula hamna kitu pale ni shati tu, Kapombe nae sijui aliingia kufanya nini anakimbiza adui kama yupo kwenye mchakamchaka!
Safu ya nyuma iliyocheza kule Misri ingeachwa vilevile.[emoji57][emoji57] zimbwe yy aliona kuna msala akaomba sub mapema[emoji3063]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.