Ilikuwa Mbao FC sasa zamu ya Pamba kunufaika

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,304
14,913
Hakika timu za Mwanza zinabahati ya mtende Sana japo sio wao waliopanga iwe hvyo

Mgagasiko wa upangaji wa matokeo kwa timu ya kitayose toka tabora utainufaisha pamba kupanda daraja

Kama mtakumbuka mwaka ambao mbao fc ilopanda daraja ilopitia njia hii ya Pamba

Na muhusika mkuu wa haya yote ni bwana YUSUF KITUMBO amehusika katka matukio yote mawili had akala nyundo ya maisha lakn uongoz wa karia ukamtoa kifungon na Leo Tena uongoz huohuo unempiga nyundo nyingne ya maisha.

Hongeren pamba fc mkapambane sasa
 
Pamba ingeshapanda ligi kuu kitambo kama zisingekuwa figisu za TFF. Kuna mwaka Pamba wako fire 🔥 kule daraja la mara wakaletewa Kagera Sugar aliyekuwa kwenye hatihati ya kushuka daraja kutoka ligi kuu, na sote tunajua kilichotokea. Pamba imeonewa muda mrefu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom