Recent content by The base

  1. T

    ushauri unahitajika

    #ssk2016 jamaa hapigi hizi mishe kwake hata polisi wakija kusachi hawatakuta cha maana mzigo unapigwa sehem hatujajua ni wapi kuhusu kumuua hawezi kumuua
  2. T

    ushauri unahitajika

    #rikiboy mshkaji acha tu ila huyu dada anajifanya kama hayajui hapa napokuambia mume jumatatu ana safari ya kwenda tng kuchukua mzigo mwengine akamhadaa mkewe aende akashinde kwa mama mkwe wake hiyo jumatatu ili akachukue mzigo mke kashtukia kamuambia mume ataenda kesho sio jumatatu tena
  3. T

    ushauri unahitajika

    #rosicky na familia ya mwanaume haijui kama mtoto wao anafanya hizo mbishe
  4. T

    ushauri unahitajika

    #rikiboy ye anaxema kumxalia mmmewe mtoto mwengine hapana anahofu kuachiwa mzigo wa kulea watoto na mumewe kamwambiya ikipita mwaka hajaona mimba watashindwana
  5. T

    ushauri unahitajika

    #drake tamaa kivipi mtu ameolewa hakujua amegundua tayari mke wa mtu?
  6. T

    ushauri unahitajika

    #leonard sjawah kutembea naye na sina huo mpango ni rafiki
  7. T

    ushauri unahitajika

    #prince mhando tamaa kivp boss? Alivyoolewa hakujua kayagundua ndani ya ndoa
  8. T

    ushauri unahitajika

    #mzee hofu kubwa alionayo ni kuhofia mumewe akishikwa huku ameachiwa watoto wengi anasema mmoja alienae hamshindi hata akiachwa leo
  9. T

    ushauri unahitajika

    #sk2016 anasema ana hofu rafiki mkubwa wa mumewe yuko ndani kwa hii biashara hivo anahofia kuzaa naye majukum ya watoto yakamuangukia
  10. T

    ushauri unahitajika

    #mavado huyu rafiki hataki kuzaa watoto wengine na mumewe mara baada ya kujua anajihusisha na biashara hiyo
  11. T

    ushauri unahitajika

    #abu yazid mume alianza mawasiliano ya kificho mke kufuatilia akagundua
  12. T

    ushauri unahitajika

    niko na rafiki yangu wa kike ameolewa na ndoa yake ina mwaka amegundua mumewe anauza unga Anaomba Ushauri wana mtoto mmoja mume anataka wazae watoto wengine haraka mke kwa hofu ya kazi ya jamaa amegoma kuzaa
  13. T

    Hodi

    Subiri alienifungulia akaunti amelala akiamka anielekeze jinsi ya kutuma
  14. T

    Hodi

    Qalsab Hamza Mbwana
  15. T

    Hodi

    Asante
Back
Top Bottom