Wote hao wanaoonekana ni watoto wa vigogo wa serikalini. Lazima wafanye hivyo kutetea ufisadi wa wazazi wao maana ndio umewafikisha hapo. Wapuuzi sana hao
Mtoa Maada kwa ushauri wangu wa bure...unazidi kuiangamiza ACT-Tz kwa mada za kipuuzi. Kwanza hicho ni chama chetu waha wa Ujiji. Huyo mwigamba, kitila ni kama waajiliwa wa saccos yetu. "waha kwanza....Taifa Baadae". Hii kaulimbiu ya mdau mmoja wa Fb inafaa sana.
Mtela mwampamba ni mvuta-bangi asiyepata mlo kamili...hivyo bangi imechakachua ubongo wake. Namfahamu A-Z nimeishi nae kwa ukaribu sana, kipindi flani ilibidi nimfukuze geto.chumba kilikuwa kama store ya bangi na viroba. Ukweli ni mwanasiasa asiyenasifa ya kuwa mwanasiasa. Anatafuta mkate kwa...
Mbunge wangu Zitto nataka Kura ya siri. Mbunge wangu wa kambo Hamisi Kugwangala, Kilaza mkuu Aden Rage, Mzee wa vichanga Samweli Sitta, Mzee wa kubaka vitoto Kapuya naombeni KURA ya Siri itumike
Mleta Maada mpuuzi sana. Vijana tumuunge mkono mwizi/mzinzi? Makonda anatuwakilisha vijana wa kada ipi? Sio kwamba amechaguliwa kwa sababu ya Ukada wake wa Ccm? Hivyo anawakilisha wezi wenzake wa ccm
Naombeni mtuache waislam wa Kigoma tuwe huru. Kwanini mtulazimishe kujiunga na chama chenu? Naomba majibu tafadhari. Si wengine hatupendi ujinga. Mmekuja kujazana huku Ujiji utafikiri siafu. Mnatutishia sisi waislamu kujiunga na chama cha kipuuzi. Na huyu imamu wetu wa msikiti asipoangalia...
Nilitoa post ya awali ktk "thread" flani. Narudia tena na hapa, na nitarudia tena na tena. Na niko tayari kutoa ushahidi duniani na mbinguni. ACT ni chama cha Kiislam. Mimi mi kati ya waathirika wakubwa wa chama hiki. Kimsingi mimi nilikuwa mwanachama wa NCCR miaka iliyopita na kuamua kuachana...
Naombeni mnisaidie hivi huko ULAYA na nchi nyinginezo kuna Chama cha Siasa kilichopewa jina la KISWAHILI? Kama hakuna huyu mdudu ACT, NCCR, CUF, DP wanatoa taswira gani? Ni vyama vya Kizalendo au kujipendekeza mataifa ya Ulaya. Mtu na akili zako unajua watu Wako wa Kigoma shule hawana, matokeo...
Ameshapokea rushwa ya kutosha hana haja na posho za bunge. Toka mwaka 2008 anahongwa madola na ccm mpaka Leo. Ana kila sababu ya kukataa posho ili kujisafisha
then tukiwakuta wachaga wengi maofisini tunalalamika eti wanapendeleana kumbe wamesoma. Sisi badala tufikirie kukuza elimu Kigoma tunashinda vijiwe vya kahawa kumjadili Zitto. Shame-on- us. Ndalushe, abhaha ni-tuvyuke.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.