Je wahitaji mkopo kwa ajili ya shule yako
kama;
-Kuboresha majengo
-Vifaa kama dawati
-Usafiri
-mafunzo ya walimu n.k
......Njoo ketu Opportunity Tanzania Ltd kwa aliye Iringa na upate mkopo kuanzia 1M mpaka 40M na riba ni 20% kwa mwaka yaani sawa na 1.7% kwa mwezi
....changamkia fursa
Habari wanaJF,
Me nipo chuo mwaka wa 1 ila nimeanzisha mradi wa ufugaji Nguruwe na pia natarajia kuanza na kuku, bata, mbuzi, kondoo kwa ajili ya kufanya supply yangu kwenye mahotel na migahawa mbalimbali.
Naomba trend ya soko kwa anayefahamu ili nijipange vizuri..
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.