Recent content by The 1 tz

  1. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilikiwa nmeshajiandaa na kuvaa viatu kw ajili ya kutoka out weekend hii ila alichokifanya south Africa nimerud chumbn na kuvua kila kitu nmebaki na boxer tu hapa kitandan acha nilale
  2. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Steve hii ni kampuni gani.?
  3. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umetumia kampuni gani hii yenye hizo option.?
  4. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Ni wachache sana waliobarikiwa talent ya kuandika story ya waliyopitia kwenye maisha yao na kutumia mda wake kukuandikia sisi humu tusome for free kwanza heshimu hilo. Pia amekupa option 3, kama una haraka na huna uvumilivu na story yake mchangie japo kdgo tu shlng elfu 3 akutumie WhatsApp...
  5. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Ni bora ukaacha hizo scene za huko msikitini lakini sio hiyo kwa kweli
  6. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Kaninyanyasa kijinsia nawezaje kumshtaki?

    Meza p2 ina flash kila kitu mbona unakuwa kama umekuja mjini juzi na gari za ng'ombe
  7. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole sana ndg yngu umepoteza hala nyingi hiyo kwa hali ya maisha ilivyo ngumu sasa hivi, trust me i feels your pain Badili aina ya uchezaji unaocheza hiyo hela ni mtaji tosha sana wa kuanzia na uli upate hela kwenye betting nidhamu ya hali ya juu sana inatakiwa na kuweka pemben tamaa ya kutaka...
  8. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Laki 238,000/= faida kwa siku ya leo Huu utakuwa mkeka wangu wa mwisho kuposti naamini kw walio nielewa kufata njia hii watakuwa wamenielewa maana nimejitahid kutoa maelezo na mifano ya kutosha Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  9. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Najaribu kuwaonyesha haya makumpuni yanaweza kupigwa kwa namna gan, sio lazma uweke kiasi kama nilichoweka mm, weka kiasi ambacho hata ukipoteza hakito kuadhiri kulingana na kipato chako Sio kama matren sichezi nacheza ila ni betpawa na spotybet na hutakiwi kuwa unatoa hela mfukon kucheza mm...
  10. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sinimekupostia mkeka niliocheza kiasi nilichoweka na faida niliyopata au unadhani unaona vibaya.? Hujakosea kuona hiyo ni million 1 kweli na nimepata 187,000/= faida kwa single beti ya timu 1 Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  11. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Faida ya 187,000/= kwa usiksu huu sio mbaya Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  12. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kutafuta odds ya 2 ndg yng sio mchezo ni ngumu sana, unaweza kuotea siku ya kwanza ya pili chali au ya tatu kama sio ya 4, ila kutafuta odds ya 1.25 kushuka chini kwa timu 1 ni rahisi zaidi Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  13. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazo zuri na nimeshajaribua sana ila Hapo kwenye kuukuza hadi ufike 1 million ndio shughuli ilipo, unaweza kujikuta hicho kidogo kidogo unachoweka kila siku na kuliwa kikavuka hata hicho kiasi Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  14. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    . Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  15. The 1 tz

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    . Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom