Recent content by that-official

  1. that-official

    Ni muda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?

    Asant boss hapa ni kwenda kwenye ofisi zao tu 🙏🙏
  2. that-official

    Ni muda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?

    Cha kuzaliwa maan nilienda ofisin wakaniambia niombee online
  3. that-official

    Simba wana haki kufurahia kufungwa goli 1

    🙆🙆😂😂😂 Simba forever na ukubwa wake
  4. that-official

    Ni muda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?

    Habari Wana jamii. Naomba kuuliza ni mda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu? Mfumo wa Sasa upo kitechnology Zaidi, mtu anaeweza kuomba cheti online kwa kutumia simu yake. Je kama taarifa sio sahihi ni namna gani wanarudisha majibu? Ni mwezi Sasa unapita toka...
  5. that-official

    Harry Kane ana gundu!

    Shida ya sisi watu pale vitu visivyo enda sawa ndio tunatoa maneno yetu but kama jana England angeshinda sizan kama Kuna chochote kingeongelewa kibaya kuhus HARRY KANE Nawasilisha
  6. that-official

    Je, watu wa zamani waliishi kwa imani zipi?

    JE WATU WA ZAMANI WALIISHI KWA IMANI ZIPI? katika historia inasemakana kwamba mababu na mabibi zetu waliishi kwa Imani zao hapa nikimaanisha kwamba Mila na desturi Kuenzi watu walio kufa mda mrefu ulio pita, wakiamini kwamba wanapata msaada wakifanya matambiko. IImani thabiti inasemakana watu...
  7. that-official

    Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Ipo nguvu katika ulimwengu wa kiroho inaitwa universe power masaa na dk kufuatana ni moja ya ishara ambayo ulimwengu unajaribu kuelezea kitu fulani katika maisha yako lakini bado hujui ni wapi pa kuanzia lakini sio shida naweza kukupa muongozo kdg nitafute whatsapp 0686310491
Back
Top Bottom