Recent content by Thanksgiving

  1. T

    2012: Arusha tutaendelea kuwa majasiri wa kupinga uonevu - Godbless Lema (MB)

    Hivi wewe ritz ni mtu? Au ni robot la ccm? Nina hakika JK amekua akigongea misaada kutoka kwa Davd Cameroon mulize kama tumepona kungizwa kwenye mashart unayoyahofia! samahani ccm msininukuu vibaya!
  2. T

    2012: Arusha tutaendelea kuwa majasiri wa kupinga uonevu - Godbless Lema (MB)

    Umeniharibia sikukuu ya birthday yangu; watu wengine mnakazi ya kututafutia ban humu.
  3. T

    Kwa hili, JK awaombe radhi Watanzania kisha athibitishe kuwa ni Muongo. Hatutaamini asemacho tena

    Mkuu, wengi mnashindwa kumuelewa vema JK, ni kawaida yake kujinukuu vibaya yeye mwenyewe, sembuse watu wengine?
  4. T

    Kwa hili, JK awaombe radhi Watanzania kisha athibitishe kuwa ni Muongo. Hatutaamini asemacho tena

    Mkuu, wenge mnashindwa kumuelewa vema JK, ni kawaida yake kujinukuu vibaya yeye mwenyewe, sembuse watu wengine?
  5. T

    HAMADI ni mtaji tosha kwa CHADEMA

    Umesema kweli mkuu, kwa watanganyika muungano ulitunyang'anya utaifa wetu mchana kweupee! Tukabakia na Tanzania inayotuzuia kujiamlia mambo yetu wenyewe, tunalazimishwa kuamliwa mambo yetu na wazenji. Ni sahihi kabisa kwamba CHADEMA ikomaea kutukomboa watanganyika, huyu mzenji Hamadi aende ccm...
  6. T

    HAMADI ni mtaji tosha kwa CHADEMA

    Umesema kweli mkuu, kwa watanganyika muungano ulitunyang'anya utaifa wetu mchana kweupee! Tukabakia na Tanzania inayotuzuia kujiamlia mambo yetu wenyewe, tunalazimishwa kuamliwa mambo yetu na wazenji. Ni sahihi kabisa kwamba CHADEMA ikomaea kutukomboa watanganyika, huyu mzenji Hamadi ccm inayokufa.
  7. T

    Absalom Kibanda akamatwa!

    Tiote, naogopa kupewa ban mkuu!
Back
Top Bottom