Recent content by Thadeus

  1. T

    TANESCO: Tunakanusha tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU

    Tanesco acheni ubabaishaji. Tangu juzi sijafanikiwa kununua umeme kwa simu. Pesa imekatwa lakini token sijapata! Itakuwa vizuri mkijulisha umma kuhusu kinachoendelea.
  2. T

    NEC: Hakuna sheria wala kanuni yoyote ya uchaguzi wa Rais, wabunge au madiwani inayotaka mawakala wapewe nakala ya kiapo

    HOJA HUJIBIWA KWA HOJA . HAPO UMETOA POVU TU. UNGETUSAIDIA SANA KAMA UNGELETA HAPA SHERIA ILIVYO ILI KUONYESHA KUWA NEC WANA HIGH LEVEL OF RETARDATION jIBU HOJA!
  3. T

    Nahitaji Kujiunga na upadre

    Kuna mashirika ya upadre kadhaa hapa Dar es Salaam. Kwa kuanzia, waone maparoko wafuatao: 1) Parokia ya Kimara (Calretian Fathers) 2) Paroko wa Mbezi Beach - Gasper de Buffalo (Damu Azizi ya Yesu) 3) Paroko wa Yombo Vituka (Wakamiliani - Wa hudumu wa Wagonjwa) 4) Paroko wa Hananasifu (Holy...
  4. T

    Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga, Wahukumiwa kwenda jela miezi Mitano kwa kosa la Uchochezi

    Mtasubiri sana. Kwa vyovyote vile ni makosa makubwa sana kufikiria kuna uhuru bila mipaka. Ni kweli kuwa uhuru wa kusema cj=hochote, kuamini dini yoyote, kujiunga na kikundi chochote ... n.k, upo kuwa mujibu wa katiba, lakini katiba hiyo hoyo inadai kuwa uhuru huo ni " ... bila kuvunja sheria"...
  5. T

    Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

    Wewe kama RC wanakukera si uhamie madhehebu mengine ambayo hayana michango? Wenzio wameshahama wewe unasuburi nini? Au umetumwa?
  6. T

    Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Nenda makanisa mengine hakuna michango kabisa.
  7. T

    Barua ya wazi kwenda kwa Askofu Kardinali Pengo

    Pambana na hali yako!!! Badala ya kulaumu ulikojikwaa unalaumu ulikoangukia?
  8. T

    AJALI ARUSHA: Watano wafariki dunia baada ya kuangukiwa na mti wakiwa ndani ya nyumba

    Jamani tusiwe na roho za namna hii. Siyo kila kitu kina mtazamo wa kisiasa. Msiba hauna chama.
  9. T

    Wanadiplomasia kufa kwa kutatanisha mwingine balozi Wa Urusi kule UN kakutwa kafa kimya kimya New yo

    Wanaficha ushahidi wa alichoongea na Flynn. Amemaliza mission, amekuwa dispensable, he knew to much!!. Typical of Usalama wa Taifa kokote duniani, Huyu amekufa kimyakimya kwa manufaa ya Taifa la Urusi
  10. T

    Russian Ambassador killing is Fake

    Kwa hiyo hata mazishi yaliyofanyika Moscow ni fake?
  11. T

    Tetesi: Kisandu ni kweli kajiengua Kanisa Katoliki

    Nina wasiwasi huyu ni mmoja kati ya wale wanne waliosemwa hivi karibuni. Alipoingia hakutangaza, vipi anapotoka anatangaza? Sana anataka tumfanyie nini?
  12. T

    UTAFITI: Watoto wa Tanzania wana afya nzuri ya maungo duniani

    UTAFITI HUPINGWA KWA UTAFITI. SIYO KILA KITU NI SIASA. kAMA UNATAKA KUPINGA, LETE UTAFITI KUONYESHA KUWA SIYO KWELI.
  13. T

    Honey niongeze chumvi kidogo?

    Hilo nalo neno! Nimeipenda hii. Inaweza ikaonekana kama utani lakini ni funzo zuri sana kwa kila mtu katika maisha.
  14. T

    The UKUTA mission n vision

    Wewe utakuwa hapa jamiiforums unasoma meseji wakati wenzio wanapata mkong'oto. Hatutanganyiki!!!
  15. T

    Serikali yalifungia gazeti la MSETO kwa miaka 3 kwa kuandika habari likitumia nyaraka za kugushi

    Kwa hiyo anyamaze hata hili?Ni lazima tujenge tabia ya kutaka kupata habari ambazo zina ukweli ndani yake. Kuandika habari ambazo zi za kweli na hazina uthibitisho, au ambazo vithibitisho ni vya kugushi ni jinai na pia ni kupoteza muda na pesa za wasomaji. Hivi mtu anapofanya hivyo nia yake ni nini?
Back
Top Bottom