Kaka zangu humu ndani si kila mwanamke yupo hivyo ni sawa na ukiangalia vidole vyako havilingani. Kuna wanaojiheshimu na kutambua nini maana ya ndoa na wapo ambao ndoa ni sifa hivyo si shida kwao kusaliti. Nawashauri msikate tamaa ya kuoa.
Sikushauri kutoammimba kiumbe hakina hatia dada yangu. Mweleze mwenzi wako ukweli na mtafikia muafaka kama ni divorce au kulisongesha. Mungu akujaalie wepesi wa kulifikisha kwa mumeo.
Dada yangu pole sana huyo shetani wako alikiwa mzungu nini?? Umetia fora duniani, mbinguni hata jahanamu pia. Mtoto atakaye zaliwa hana kosa. Kifupi mweleze ukweli mumeo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.