Recent content by tha baptist

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Administrators-SUA

    Nadhani simu bado ntakupa taarifa Mzee Mpili
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Administrators-SUA

    mtihan wa kawaida sema kuna maswali mengine walikaza sana. Tulikuwa 11 tu na post ipo 1 so tunasubr simu kwa ajili ya Oral
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Administrators-SUA

    Duu! kaka kama hujapigiwa cm pole interview tunaenda kufanya kesho tarehe 14 April written na oral itakuwa tarehe 15 April walinipigia simu alhamis!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tanapa

    kijana hazijatangazwa na TANAPA directly but zimetangazwa na utumishi pitia web yao PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT - PSRS ni tangazo la tarehe 1 April 2014
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mliofanya Interview Zimamoto ilikua fair au?

    Mi nilipigwa maswali 11 tu but yote yanajibika kama umejiandaa vzr! cha muhimu kujiamini na kujibu kwa ufasaha
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nature ya written questions for interview UDOM

    wanatoa maswal zaidi ya 500 bt meng ni kuchagua, wanatoa general ya english, kiswahil,hesabu na ya profession yako! Ol da best kaka
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti Ya Ajira Na Filamu Ya "The Long Wait",,,,,!

    Kijana hiyo gharama unayoifikiria ukikaa mtaani utaona ni bora hata ucngefikiria, changamka kijana muda haukusubiri
  8. T

    JamiiForums Tanzania Furaha

    karibu kunako jamvi
  9. T

    JamiiForums Tanzania Interview udom tayari 10.12.2012

    kama vipi pitia www.udom.ac.tz
  10. T

    JamiiForums Tanzania Usaili udom vipi?

    Ucjal mdau ur welcome
  11. T

    JamiiForums Tanzania Usaili udom vipi?

    Walioitwa ni TAs na assistant lecturers, Political science ni social science mdau
  12. T

    JamiiForums Tanzania Usaili udom vipi?

    kuna mwana JF mmoja alipost taarifa za kuitwa kwenye oral udom akaattach na document yenye majina bt kesho yake akaitoa, UDOM kuna urasimu mwingi bt 2endelee kuamin kama ipo ipo 2! Mi toka nimalize chuo nshaomba kaz kama 10000 zingine waitwa interview zingine hauitw bt i wont give up! I know...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Wa2 wanapost v2 vya ajab mbona JF kuna majukwaa meng 2 huku 2juzane kuhusu kazi hayo mengine 2chekiane kwenye majukwaa husika! Samahan kwa kuvunja sheria wadau
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    wana JF 2napopost 2we makini na title ze2 jamn wa2 wako serious wanatafuta kazi jaman
Back
Top Bottom