Recent content by Tezidume

  1. T

    Jenerali Ulimwengu aongezwa kwenye jopo la Mbowe

    Kudai Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima iwe ndio ajenda kuu ya upinzani/washindani kwani 2020 haipo mbali vinginevyo aliyepo Magogoni ataendelea kututawala hadi 2025 (Tanzania twafa)
  2. T

    Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

    Uonevu katika kesi ya Lema ni wa kutisha. Kumnyima mtu dhamana kwa kesi ambayo inadhaminika ni ukiukaji wa hali ya juu wa haki za binadamu. Huyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali ni lazima wawajibike hata na huyo anayewatuma wafanye uovu huo. Ni lazima wawajibike na...
  3. T

    Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Job Ndugai ndiye Spika anayefaa kuiongoz bunge la 11. Ana uelewa mkubwa wa kanuni za bunge. Wengine wametumwa kulinda masilahi ya mfumo-rushwa.
  4. T

    Dr. Tulia Ackson, nani amekutuma? Unataka nini? Kwanini?

    Uwezo wake ni kawaida ila wale wenye uwezo mdogo wa kisheria wana muona ni kipanga. Alitumiwa sana na Asha Rose Migiro wakati wa Bunge la Katiba kuandika Rasimu Chakachuzi ya Chenge ambayo mwisho wa siku haikupita. Yeye ni mtu wa kutumiwa kutekeleza matakwa ya wakubwa. Hivyo kuweni macho naye.
  5. T

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Gubu ndilo linalokusumbua. Kiongozi kujua matatizo ya wananchi na kupanda daladala nao ni kosa tangu lini? Inaelekea matusi ya Jangwani yamekuharibu. CCM poleni sana na mtalia kila kitendo wafanyacho Ukawa.
  6. T

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Inabidi ukapimwe kama unaweza kuilinganisha "hotuba" hiyo na "I have a dream".
  7. T

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Nimepita pale Jangwani wingi wa watu waliohudhuria ni mdogo sana haufikii hata 10% ya watu waliomlaki Lowasa Mbeya au Zanzibar. Hii inamaanisha mvuto wa CCM umekwisha na kama ni nguo ina viraka vinavyoonyesha maungo yote. Na kama ni mpauko basi imepauka kiwango cha kutia kinyaa. Pole sana...
  8. T

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Ninasisisitiza CCM wameandaa wizi mkubwa wa kura. Dar es Salaam kura zitabatilishwa kama mwaka 1995. Tume ya Uchaguzi itatangaza matokeo kama alivyofanya Kivuitu na huo ndio ushindi wa kisayansi alioahidi Magufuli. Ni vema UKAWA na wote wanaoitakia mema nchi hii kupambana na njama hizo ovu za...
  9. T

    Ziara ya kimyakimya ya IGP Ernest Mangu kushawishi Askari kupigia kura CCM na kuzuiliwa kwa Msafara

    Imeamuriwa kuwa Jeshi na Polisi watumiwe kuiba kura ikiwa ni pamoja ya kujaza kura katika masanduku ya kura bandia ambayo ndiyo yatachukuliwa kwenda kuhesabiwa kana kwamba yametoka katika vituo vya kura. Ili kutekeleza mpango huu haramu, unaoendana na majigambo ya Kikwete eti "maarifa tunayo na...
  10. T

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Kikwete kasema "maarifa wanayo" na lazima watashinda. Huu ni moja ya uthibitisho wa "maarifa" waliyonayo. Nenda Lipumba kamsaidie Kikwete kutekeleza wizi wa kura.
  11. T

    Kwa kauli ya Kikwete ya leo, Kuna kila dalili ya kuipeleka nchi vitani

    Anachomaanisha Kikwete ni kuwa CCM itaiba kura kwa namna yoyote ile ikiwa ni pamoja na kuitumia Tume ya Uchaguzi kumtangaza Magufuli kuwa ni mshindi kama ilivyofanywa na ile ya Kenya ilimpotangaza Kibaki kuwa ni mshindi mwaka 2007/2008. Ni lazima UKAWA kuwa makini na njama zote za wizi wa kura...
  12. T

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Imekula vipi kwa Tibaijuka wakati kawagaragaza wale mahasidi waliotumwa kugombea kutekeleza mradi wa wale waliokwapua pesa za Escrow na kugawiana kwenye lumbesa kutoka benki ya Stanbic?
  13. T

    Video ya Kikwete na maelezo ya Lowassa yalivyohamisha watu CCM

    Yeye ndiye Dowans, Richmond, Deep Green na sasa Escrow. Ajabu yake Watanzania hawako tayari kumuwajibisha waaishia kushika na kuwasulubu wasiohusika.
  14. T

    Prof. Tibaijuka ziarani Muleba Kusini, asafiri kwa bodaboda umbali wa kilomita 13

    Sina lengo zaidi ya kutetea ukweli akifanya vibaya nitamsema ila katu kamwe sitakubali uongo unageuzwa kuwa ukweli na ukweli unageuzwa kuwa uongo. Kikwete ndiye aliyetoa amri fedha za escrow zitolewe "kama alivyoshauri Mwanasheria Mkuu". Leo hii anakuwa na ujasiri wa kuwaambia Watanzania eti...
  15. T

    Prof. Tibaijuka ziarani Muleba Kusini, asafiri kwa bodaboda umbali wa kilomita 13

    Kazi nzuri sana Mama Tibaijuka licha ya usaliti uliofanyiwa na wale wanokuogopa kwa uwezo wako na ambao wamewekeza kukuchafua wewe tumikia wapiga kura (wachaguzi) wako na mwisho wa siku ukweli utajulikana.
Back
Top Bottom