Recent content by Tewe

  1. T

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    It is getting more dark
  2. T

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yupo wapi huyo?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Na leo maadam naye anamsubiri yoga kwa hamu kubwa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yoga anaibuka saa sita usiku
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Yoga ataibubaka saa sita usiku
  6. T

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Amen
  7. T

    JamiiForums Tanzania Je, mwenyekiti Mbowe ni mtu huru?

    Ni mfungwa huru kwasababu kesi ilimalizwa kwa mashart ndio maana alipotoka tu lupango kaenda moja kwa moja kuookea maagizo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hahahaaa!
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mchele kutoka nje na hatma ya wakulima wetu

    Kwani wizara ya elimu haikuwepo hadi vitabu vya ngono vimeingizwa mashuleni ndio wanakuja kujua?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mchele kutoka nje na hatma ya wakulima wetu

    Kwanini mchele tu? Mbona kwenye bomu la sukari wasiruhusu? Bidhaa za viwandani utasikia tunalinda viwanda vya ndani why not wakulima? Anayeona chakula ni ghali aende shamba akalime chake?
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bashe unaumiza Watanzania kwa faida zako binafsi. Luhaga Mpina alisimamia Sheria, hakutia umasikini wavuvi

    Ukiona nafaka zinauzwa bei ghali kalime. Period
  12. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usidanganywe kuwa unakubalika sana na 2025 utashinda kirahisi kama Mzee Makamba anaepalilia ugali wa mwanae

    Unadhani hicho ndio kigezo cha kufanyiwa lolote? Amka mzee kila siku sio jumapili Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
  13. T

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Tuombe asiwepo
  14. T

    JamiiForums Tanzania AG Feleshi: Sheria ya tozo haikutungwa kwa kukurupuka, ilipitia hatua zote, kama haifai itapitia utaratibu ule ule kuifuta

    Usiwe mbaguzi hili sio swala la watumishi ni swala la wananchi wote. Kuwa mtumishi unadhani wewe ni special?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nje ya Ujamaa Tozo haziepukiki kwa sababu viongozi hawawezi kufunga mikanda

    Kwanini usubiri akuelewe usimfanye aelewe hata kama ni kichwa maji?
Back
Top Bottom