kabla hujazungumza fikiria kwanza unachokisema..we utaitwaje kazi ambayo hujaiomba??????kazi hii ilitangazwa na official job wesites kama ajira forum na zinginezo..watakuaje matapeli...huku ndo naamini wapo wengi wa utopoloni..
mm mwenyewe nimetumiwa ujumbe na hiyo kazi niliombaga sio utapeli puuzeni kama umeitwa nenda kwa interview..halafu hawa ni maconsultance wanafanya biashara hiyo 22000/= NI gharama zao za uendeshaji.
EEH BWANA MKUU KUNA JAMAA MMOJA ALIKUWAGA MBELE YANGU KIDARASA KAFANIKIWA KUPATA SCHORLASHIP HUKO MAREKANI BAADA YA CHUO NASIKIA SASA HVI NI SHOGA NA AMEJIUNGA NA HILO KUNDI LA KISHOGA HUKO MAREKANI
wewe nahisi ndo walewale wa utumishi mitihani inatungwa kusikojulikana na kusahihishwa kusikojulikana ukweli ni kwamba wasomi wa taifa hili wamegeuzwa kuwa mbwa mwitu kwenye nchi huru haiwezekani mtu aliyesoma petroleum engeneering kwa hela za walipa kodi unamwambia akajiajiri kwa kulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.