itakuwa vizuri wakifanya hivyo kwani uzi utaimarishwa zaidi kwan uchunguzi utatiwa moyo na kuwekwa vitu muhimu sana kwa ajili ya mustakabali ya taifa la sasa na baadae.
Mods wafanye hivyo
Kumbe mnauvunja muungano kwa sababu za kidini???
Mnafikiri kwa kutumia nini???
Hamjui kwamba hata Saud Arabia kunawakristu na watu wadini tofauti na hiyo??
Kuvunja muungano kwa sababu hiyo ni Ukosefu na ufinyu wa akili mno.
Hivi nii Pemba inayotaka uhuru ama Unguja?
Kama waislamu wasuni na washia wanauana wenyewe kwa wenyewe sembuse Pemba na Unguja?
Mtagawanyika vipandevipande.
Wadau hivi karibuni nitawaletea uzi unaoonesha mpaango wa Kikwete na ccm wanavyopanga kuiuza Tanzania kabisa.
Ushaidi kutoka mkutano mkuu wa Nec mwaka janna.
Stay tuned.
Modes naomba muunganishe hotba ya mheshmiwa.Sugu kwenye uzi huu, hasa ukurasa wake wa kwanza hadi wa 14.
Kuna maajabu mengine yaliyofanywa na Serikali hii.
Mfano mauaji ya muandishi wa habari Richard Massau.
Kumbuka kunamaisha zaidi ya 7000 ya anayekufanya uukane uzarendo na Utu wako.
Hawi kwenye nafasi aliyonayo sasa.
Na taifa litabaki na maumivu kwa sababu ya wapuuzi wachache kama nyie.
Kuandika matukio kama yalivyotokea sio jinahi,
ainisha nililoliandika ambalo halikutokea.
'Mtenda kosa hana kosa,bali anaeliona kosa na kukaa kimya huyo ndiye mwenye kosa'
HOFU NI DHAMBI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.