Na Hapo hapo NIDA ID Ikisha Expired Unapewa tena Form ya kujaza wakati Details zako zote wanazo, Hadi finger print,
Nashindwa kuelewa kwanini National ID ya Taifa inakuwa expire, Kwaiyo uraia wako unakuwa na mda, ukiisha unaenda tena kuomba mara nyingine.
Ndiyo, NIDA ni haki yako kama raia, kwa sababu taarifa za utambulisho wa taifa ni sehemu ya haki zako za msingi za kutambuliwa kisheria na kupata huduma mbalimbali za kijamii na kiuchumi kupitia NIDA. Kupitia NIDA unaweza kupata Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN), kufungua akaunti ya benki...
Sio kwa sasa watu wanatafuta sababu ya myaudi feki kuchapwa. Nakuambia russia, iran na china wapo nyuma. Maana myaudi fake alimsaidia ukraine, sasa watu wanamtafutia sababu tu wamchape. Kwanini yupo kimya maana kashitukia mchezo yeye na usa wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.