Recent content by Teodoro

  1. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Maneno aliyonambia brigedia mstaafu juu ya usalama wa nchi na UKUTA

    Mwacheni Lowassa apige siasa
  2. Teodoro

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tamko Kuhusu wito wa msajili kukutanisha vyama kwa ajili ya mazungumzo

    Itakuwa ni kosa Mkulu kuogopa promosheni ya Chadema. Kwamba amewaogopa! Nini litakuwa Dai la pili baada ya hili? Hatuoni huko ni kumfanya Rais kikaragosi? Kwamba amelegea miguu? Atalegea kwa mangapi kama kesho Chadema watadai kila Mbunge apewe chopa? Tunajua namna ya kulea mtoto? Hivi baba...
  3. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apokea hati za utambulisho wa mabalozi wanne

    Unamdhihaki Rais
  4. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Operesheni UKUTA: Kabla sijashiriki, naomba kwanza ufafanuzi katika haya!

    "Kwa sasa tunachotaka ni kukiondoa CCM madarakani hata kwa kumsimamisha shetani,"- Ukawa 2015, mengine mbele kwa mbele. Ndivyo ilivyo kwa Ukuta!
  5. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Marais wastaafu Mkapa, Mwinyi na Kikwete semeni chochote kuhusu UKUTA

    Wanachekelea chini chini
  6. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Marais wastaafu Mkapa, Mwinyi na Kikwete semeni chochote kuhusu UKUTA

    Wanachekelea chini chini
  7. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Odinga afichua aliyoteta na Rais Magufuli. Lowassa mwanafunzi, aje kwangu

    Anachotafuta Odinga kwa Mkulu ni mapesa ya uchaguzi na msaada wa "mafundi" wa kuiba kura that's all! Pale Chato alikuja kwa chopa tutajuaje aliondoka na nini?
  8. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Rashid Othman astaafu, Nafasi yake yakaimiwa na George Madafa

    Othman Rashid alikuwa kwenye likizo ya kustaafu zaidi ya miezi 2 iliyopita Madafa akiwa anaongoza Idara hiyo.
  9. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Mtukufu Rais: Ngoma ikilia sana hupasuka

    Mleta Uzi nitashangaa kama hujazingirwa umeongea maneno mazito mno. Nakumbuka barua ya mfanyabiashara mmoja hapa nchini aliwahi kumwambia JK, "you are not my bread winner, sikuogopi na vyombo vyako vyote vya ulinzi nisichotaka ni kuwaharibia Watanzania timetable yao". Wewe mtu ni jasiri sana.
  10. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Polisi wanaodaiwa kula chipsi na kutokomea kuchunguzwa

    Dh! Shame on them! Sasa unakula viepe ukapambane na Red Brigade? Kweli?
  11. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Mtatiro na Maalim Seif Waukacha Mkutano Mkuu

    Kuna ukweli Fulani ndani ya maneno yako maana nimeshangaa ule mkutano ukilindwa vijana Red Brigade wa Chadema.
  12. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya kubeba tarehe moja kama ni mshiriki operation UKUTA

    Nyumbani pia muandae majeneza na makaburi kwa watakaopoteza maisha.
  13. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Magufuli baba, kaza kamba UKUTA ni mbinu ya mafisadi

    Uko vizuri maana budget ya UKUTA ni mabilioni.
  14. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Makamanda tupeni ratiba ya maanadamo mikoani tarehe 1

    Maadamano yataanzia nyumbani kwako. Waigeni CUF hakuna kuongozana. Kila mmoja anatoka nyumbani kivyake hadi mkutanoni.
  15. Teodoro

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ina hofu sana na UKUTA, nini kimejificha katika hofu hiyo?

    Tatizo kuna baadhi ya waliokosa Urais 2015 kupitia CCM ambao nao Wako ndani ya movement hii. Siwataji kwa leo!
Back
Top Bottom