Recent content by TENYWA

  1. T

    JamiiForums I realy want a job (computer engineer)

    Mimi nipo vizuri kwenye networking na ndiyo napenda sana kwa hiyo kama kuna sehemu wanahitaji hata watu wa tempo tafadhari nijurishe. Sehemu zingine ni kwenye IT support, software designing and consultancy,
  2. T

    JamiiForums Usaili wa upolisi kwa graduates

    Wiki iliyopita mm nikiwa mmojawapo walinipigia simu cnauhakika sana kama walikuwa wenyewe, waliniuliza kama nimekwisha pata kazi kwasababu wanapitia majina kwa ajili ya kuita kwenye usahili. Hivyo basi nafikiri kwenye muda huu uliobaki utaitwa tuu kama uliomba.
  3. T

    JamiiForums I realy want a job (computer engineer)

    Kwanza ndugu zangu wana jf mimi niwape hongera kwa kuendelea na mjukumu ya kitanzania.Ndugu zanguni mimi nina shahada ya uhandisi wa computer,lakini bado cjapata mishe wapendwa.Hivyo basi kama kuna makampuni yanahitaji watu wa temporary kwa upande wa networking, IT support, na zinginezo...
Back
Top Bottom