Poleni Sana japo niwanaosadikiwa labda hata watu wa Mbweni waliboeka Na kelele zenu wakaamua kufanya hivyo coz siku hizi sioni Kama cdm mnahoja zenye mashiko hadi ccm wakawatende ivyo
Ni waandishi ndo hawana ueledi au serikali mbona sielewi,Mara vichwa havina mwenyewe tena serikali itakaa na mwenyewe ili kuvinunua vichwa hivyo..!!!!!??????? Napoteza imani
Haahaahaa hata Dereva akitibiwa kisaikolojia bado atakumbuka tukio pindi akirudi lile eneo DODOMA. So Mbowe aache usanii na amtafutie ajira ya udereva kwa Sonko Kenya ili asirudi TZ tena na Sirro afunge kesi ya upelelezi wa Lissu Kama Dereva ndo kiini cha upelelezi na Mbowe akubaliane na hilo
Daaah...!!! Nadhani Dangote anataka kupunguza wawekezaji wenzake kwa mtindo huo ili atanue uwekezaji wake na soko kwa sababu Tz bado Ni shamba la BIBI coz walioamka wachache waliolala bado Ni wengi Sana.
Mi nadhani hata vyanzo vingi vya habari (blogs) vinachangia sisi tuwe hivyo coz Kati ya habari kumi utakuta 1 au 2 Tu ndo sio za udaku, umbey na majungu zilizo baki zote mule mule ndo maana hadi Leo Kuna watu hawamjui huyo jamaa lakini eti wanajua HAJATAHIRIWA nonsense kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.