Mimi ni mmojawapo wa wakulima tulioingia mkataba na wizara ya Kilimo kuzalisha mbegu bora za kilimo kupitia wakala wa uzalishaji wa mbegu bora za Kilimo; ASA.
Ni takribani miezi 9 sasa tangu Agosti na September mwaka 2021tulizalisha na kuuza mbegu kwa mujibu wa mkataba wa uzalishaji hadi sasa...
Kwa ufupi wanatuvunja moyo kuingia mkataba mwingine na hata wengine waliokuwa tayari kufanya kazi na ASA watarudi nyuma. Sisi tunalima na kuzalisha kwa wakati muafaka. je wao wanao tatizo gani kutulipa kwa wakati? Na kama kulikuwa na tatizo kwa nini hawatupi mrejesho na badala yake hawapokei simu .?
Tuliingia kufanya kazi na serikali tukijua hakuna ubabaishaji kabisa lakini ninachokiona hapa ni maafisa waliowekwa kusimamia hii Taasisi wakitoa majibu ya kihuni kwa wakulima(wawekezaji) bila kueleza kwa nini mpaka sasa wakulima hawalipwi ili hali walishachukua mbegu
Sisi ni wakulima tunaozalisha kwa mkataba kwa makubaliano na wakala wa mbegu za serikali yaani agricultural seed agency (ASA) yenye makao yake mjini Morogoro na matawi mikoani. Msimu wa kilimo wa mwaka 2021 tulifanikiwa kuzalisha mbegu na kuwauzia ASA kwa mujibu wa mkataba. Katika hali ya...
Hawa watumishi wa TANESCO wamekuwa mwiba mchungu kwa wananchi. Hebu angalia wanajeuzi ya kukataa kutii amri na hukumu ya mahakama wanaona watafanywa nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.