Habari zenu?
Naombeni ushauri nilikuwa naumwa na typhoid na vidonda vya tumbo kwa muda wa kama wiki 2 hivi na sasa hivi bado nipo kwenye dozi ila cha kushangaza toka Jana naona miguu inavimba na ninapata maumivu sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini au ni sindano niliyochomwa kipindi naumwa...
Habari zenu, mwenzenu na shida tarehe 1 juz niliamka asubui nikawa naskia maumivu ya tumbo ghafla nikaanza kuharisha nakutapika baada ya kwenda hospital wakanipima nikaambiwa na typhoid na vidonda vya tumbo wakanichoma sindano ya kuzuia kutapika na nikawekewa drip 3 za maji ila cha kushangaza...
Nakumbuka mpaka natokewa na huu uvimbe nilikuwa na msongo Mkubwa wa mawazo sasa sijui kama mawazo yaliweza kuwa sababu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa mwaka Jana mwezi wa 3 siku hiyo najishika shingoni nakutana na kiuvimbe kidogo sahizi ya harage ila hakiumi Mara moja moja sana hasa wakati wa usiku ndoninasikia kama shingon Nina maumivu ila siyo makali kivile ya kawaida cha kushangaza toka mwaka Jana mpaka Leo hakijaisha tayari kina...
Wamenipa vidonge 42 doz ya siku 14 wameniambia nimeze 1 mara 3 kwa siku. Kwahyo nikimaliza dozi na huu uvimbe utapotea?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.