Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

Umepewa dozi ya siku ngapi? Na je wamekupa maelekezo na mashart ya jinso ya kuzimeza?
 
Inategemea maelezo uliyompa daktari, lalianza vipi na kana maumivu gani. Uvimbe ni moja ya dalili za inflammation.
Ilikuwa mwaka Jana mwezi wa 3 siku hiyo najishika shingoni nakutana na kiuvimbe kidogo sahizi ya harage ila hakiumi Mara moja moja sana hasa wakati wa usiku ndoninasikia kama shingon Nina maumivu ila siyo makali kivile ya kawaida cha kushangaza toka mwaka Jana mpaka Leo hakijaisha tayari kina mwaka sasa juzi ndonimeenda hospital nikaandikiwa hizi dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo dawa unatumia kwa is wiki mbili tu baada ya hapo kama hukapona muone tena daktari. Ukizitumi bila maelekezo ya daktari zina madhara.
 
ilitakiwa hako kauvimbe kapimwe,vimbe za shingoni zinakuaga na utata,wanakupa anti inflamation bila kujua nature ya uvimbe?
 
Wamenipa vidonge 42 doz ya siku 14 wameniambia nimeze 1 mara 3 kwa siku. Kwahyo nikimaliza dozi na huu uvimbe utapotea?

Sent using Jamii Forums mobile app
KUPOTEA KWA UVIMBE KUNA TEGEMEA NA SABABU YA KUTOKEA KWA UVIMBE HUO MKUU,Ila hizo dawa huwa hazikatizwi kumezwa,LAKINI WEWE MEZA KAMA DAKTARI WAKO ALIVYO KUELEKEZA
Wengine huandikiwa hivi
1×3kwa siku 7=vdg 21
1×2 kwa siku 7=vdg 14
1×1 kwa siku 7= vdg 7
JUMLA NI VIDONGE 42
 
Nakumbuka mpaka natokewa na huu uvimbe nilikuwa na msongo Mkubwa wa mawazo sasa sijui kama mawazo yaliweza kuwa sababu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUPOTEA KWA UVIMBE KUNA TEGEMEA NA SABABU YA KUTOKEA KWA UVIMBE HUO MKUU,Ila hizo dawa huwa hazikatizwi kumezwa,LAKINI WEWE MEZA KAMA DAKTARI WAKO ALIVYO KUELEKEZA
Wengine huandikiwa hivi
1×3kwa siku 7=vdg 21
1×2 kwa siku 7=vdg 14
1×1 kwa siku 7= vdg 7
JUMLA NI VIDONGE 42
Hii ndo dose taking style ya Prednisolone.

Labda nimuulize mgonjwa, huo uvimbe upo sehemu/upande gani wa shingo?

Je, huo uvimbe ulipimwa kwanza au Dr aliuangalia tu then akakupatia dawa?

Je, huo uvimbe una size gani?

Sometimes vimbe huwa na preliminary stage ya development ya tumor inayopelekea cancer! Nijibu hapo juu then tuone kama tushauri ukapime goitre

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom