Recent content by Tembo wa nyikani

  1. T

    JamiiForums Tanzania Channel ya TBC ya Tanzania Safari ina mapungufu

    Chanel ilianzishwa kishabiki tena kwa mbwembwe kibao na sasa inaendeshwa kinafki na kujuana,ukienda proposal ya kipindi kizuri Cha kutangaza utalii kwa mbinu nzuri hawakuelewa mpaka uwe na ndugu miongoni mwao,hawataki kushirikiana vizuri na waliosoma utalii na hasa marketing tourism,wao wanajua...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Iringa, baraza la madiwani laitishwa kumng'oa Meya, baada ya mahakama kutupa madai yake kwa kukosea vifungu vya pingamizi lake

    Siasa za kitoto sana,yaani mtu ameonekana kutumia gari yabserikali kwenye shughuli zake binafsi anavuliwa umeya,polepole na magari ya serikali pale segerea!!!!!!!!!!!!!??????
  3. T

    JamiiForums Tanzania DC Sabaya abadili matumizi ya fedha ya mfuko wa Jimbo la Mbowe

    Huyo DC kapewa kazi maalum,ana kazi ya kudill na mbowe na anajitahidi kuonyesha kua mbowe hafanyi chochote kwenye Jimbo lake,pia anajitahidi kumwonyesha jiwe kua anachapa kazi" DC wa mwendo kas"
Back
Top Bottom