Recent content by TEMAKA

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Random questions yanakuwaga mkuu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwenye hili swali kwanza utaanza kama My is .......... , am a 20... graduate holding a Bachelor degree from university of .............. ukimaliza hapo kama una experience ya kazi utasema au kama huna basi utasema uzoefu ulioupata field. Utakuwa umemaliza usiongee vitu vingi.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili Tume ya Madini

    Ndo maswal yanayotoka written?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili Tume ya Madini

    Mining policy?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usahili Tume ya Madini

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mwenye maswali ya usahili Uhandisi wa Uchimbaji Madini (Mining Engineering II) naomba anisaodie. Natanguliza shukrani.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mining engineer natafuta nafasi ya kazi

    Ndiyo mkuu ila hicho ni kama kiashiria tu, itahitajika utafiti zaidi kujua madini yalimo
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mining engineer natafuta nafasi ya kazi

    Sawa mkuu, shukrani
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mining engineer natafuta nafasi ya kazi

    Kiongozi nafatilia sana hasa linkedin, naomba sana nafasi ila sijawahi pata feedback yoyote nzuri.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mining engineer natafuta nafasi ya kazi

    Habari wakuu, Nina digrii ya uhandisi wa uchimbaji madini (BSc Mining Engineering). Nina uzoefu katika; -kufuatilia utendaji wa mitambo -kuhakikisha usalama kazini -Nina uelewa mzuri wa matumizi ya programu kama Surpac, Datamine, na AutoCAD -Stadi za uchambuzi na uandaaji wa taarifa za kila...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ila wengi wameambiwa wasubr dom na mbaga zao
  11. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Kaka wengine hadi mbaga za mawazir,, issue naskia hawaitaji wa mujibu wa sheria kwahiyo form6,, chuo hawahitajiki
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Huyu mmoja wa aliyerudishwa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Upo sahihi kaka,, sema wengi wameambiwa na Mbaga zao waendelee kusubr dom
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal wananiambia sina vigezo vya ku apply wakati kila kitu nimefanya nimekamilisha

    Education ulifikishaje 100%,, kwenye professional uliweka nini?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Kwa ambaye ajafanikiwa anicheki pm. Ntamfanyia for free
Back
Top Bottom