Recent content by TELL

  1. T

    Wasabato ujumbe wenu huu hapa

    Mlango 14 1 Ufuateni upendo, na kutaka sana karama za rohoni, lakini zaidi kwamba mpate kuhutubu. 2 Maana yeye anenaye kwa lugha, hasemi na watu, bali husema na Mungu; maana hakuna asikiaye; lakini anena mambo ya siri katika roho yake. 3 Bali yeye ahutubuye, asema na watu maneno ya...
  2. T

    Wasabato ujumbe wenu huu hapa

    Matendo ya Mitume Mlango 2 1 Hata ilipotimia siku ya Pentekoste walikuwako wote mahali pamoja. 2 Kukaja ghafula toka mbinguni uvumi kama uvumi wa upepo wa nguvu ukienda kasi, ukaijaza nyumba yote waliyokuwa wameketi. 3 Kukawatokea ndimi zilizogawanyikana, kama ndimi za moto...
  3. T

    Museveni responds to Obama on anti-gay bill

    Hiyo nimeipenda sana mbona kuingilia uhuru wa mwenzako :A S 13:
Back
Top Bottom