Recent content by TELEZA

  1. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Joseph isaack njoo mtwara mjini nije magu 0714588035
  2. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo mtwara mjini/sekomdari, njoo nije dsm morogoro, ilemela, nyamagana, misungwi, sengerema mjini, magu mjini 0752247478/0714588035
  3. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani anayetaka kuja mtwara mjini na yeye yupo dsm au mwanza wilaya za ilemela, nyamagana au sengerema mjini. Idara ya sekondari tuwasiliane 0714588035/0752247478
  4. T

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani anayetaka kuja mtwara mjini na yeye yupo dsm au mwanza ilemela,nyamagana na sengerema mjini tuwasiliane 0714588035/0752247478
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Meatu ni kukame kidogo, kilimo ni cha pamba na kuna vijiji kama mwandoya, nyampuru nk na wilaya mpya kutoka mkoa mpya wa simiyu ila meatu mjini pazuri kwa huduma za kijamii
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Habari wanajf....mimi nimepangiwa mtwara mjini jamani aliye huko anijuze mazingira ya huko kwa ujumla
  7. T

    JamiiForums Tanzania Jamani kama kawaida ya fununu za ajira za walimu wapya

    Huyu atakua ni mwalimu wa madrasa maana kule hakuna kujifunza mwandiko kama sio hivyo basi ni mwalimu wa voda fasta
  8. T

    JamiiForums Tanzania Marketing v/s accounting

    Account
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watoto wa siku hizi hawapendi kusoma?

    Cm,tv, serikali isiyo makini pamoja na msingi mbovu kuoka kwa wazazi ndio chanzo vyanzo vikuu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

    Nafikili odili haupo sawa ndo maana una post sivyo ndivyo....sasa ngojea chief Nanga hakueneshe ipi kozi bora
  11. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali ajira mpya za walimu.

    leo tarehe ishirini na saba(27) waheshimiwa.........sasa huyo aliesema tarehe 26 yuko wapi? hebu msiwe mnalopoka lopoka tu.....
  12. T

    JamiiForums Tanzania Maajabu matokeo kidato cha nne

    Hiki ni kichwa cha mwenda wazimu kwelikweli
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kagame adaiwa kupandikiza makachero nchini kuipeleleza Serikali… mbunge atajwa kuhusika!

    Huyu kagame mwacheni apige kelele tu sawa na kumtumbukiza samaki kwenye maji yake akiwa hai......cha msingi watanzania tulinde nchi yetu. Na nyie usalama wa taifa fanyeni kazi yenu pamoja na watu wa uhamiaji na muuche kufuata watu wanao tetea maslahi ya uma
  14. T

    JamiiForums Tanzania Unalijua hili tunda?

    Linaitwa stafeli nalinaliwa likiwa limeiva na jeupe likiwalimeiva na ili kujua limeiva hua linabonyea na rahis kulimega kwa mkono
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hu ndo upimaji wa uelewa kwa wanafunzi wa chuo kikuu

    wapi huko........
Back
Top Bottom