Recent content by Teknolojia ni Yetu sote

  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛𝘂𝘆𝘂 𝗠𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗪𝗲𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 📱👤

    Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! 🇹🇿👏 Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia kufuatilia simu zilizopotea au kuibwa. 📍 Mfumo huu umetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kutambua eneo...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛𝘂𝘆𝘂 𝗠𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗪𝗲𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 📱👤

    Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! 🇹🇿👏 Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia kufuatilia simu zilizopotea au kuibwa. 📍 Mfumo huu umetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kutambua eneo la...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗞𝗶𝘁𝗼𝗰𝗵𝗶 𝗬𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗚𝗵𝗮𝗿𝗮𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗦𝗺𝗮𝗿𝘁𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗶𝗻𝗮𝘂𝘇𝘄𝗮 𝗠𝗶𝗹𝗶𝗼𝗻𝗶 𝟭 😀

    Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! 🔥 Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. 😮‍💨 📱 Kwa nini MP02 ni ghali? 🤑 Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 — takribani TSh milioni...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗸𝘂𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝗺𝘂𝗼𝗻𝗲𝗸𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮𝗸𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱

    Mtandao wa Whatsapp kwenye Android inaendelea kujaribu Bottom Navigation Bar mpya 👀📱 Awamu hii, Whatsapp inafanya mabadiliko ya kuondoa majina ya maandishi chini icons zake na kubaki na icons pekee plain Kuanzia Chats, Updates, Communities na Calls. 🎨 Lengo? Kuifanya WhatsApp ionekane...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛𝗨𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗨𝗞𝗔𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗜𝗣𝗜𝗔 𝗔𝗣𝗣 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗔𝗡𝗗𝗥𝗢𝗜𝗗 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗞𝗪𝗔 𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔👀📱

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! 🔥 Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗸𝘂𝘄𝗮𝗽𝗮 𝗪𝗮𝘇𝗮𝘇𝗶 𝗨𝘄𝗲𝘇𝗼 𝗭𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗻𝗱𝗮 𝗩𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮 👀🔐

    WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto. 🔐 Wazazi wataweza kudhibiti nini? 👤 Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝗳𝘂𝗺𝗼 𝘄𝗮 𝗛𝗶𝗹𝗶𝗴𝗵𝘁 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗣𝗶𝘅𝗲𝗹 𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗨𝘄𝗲𝘇𝗼 𝗺𝗽𝘆𝗮!🔥📱

    Google inaandaa maboresho makubwa kwenye Pixel HiLight 💡. Pixel HiLight ni mfumo wa taa ndogo za LED zilizowekwa karibu na sehemu ya kamera ya nyuma. Simu ikiwa imegeuzwa chini juu (face down), taa inaweza kuwaka kukupa taarifa bila kulazimika kuangalia skrini. Google imeleta HiLight kwenye...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗕𝗬𝗘 𝗕𝗬𝗘 𝗤𝗥 𝗖𝗢𝗗𝗘 𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗜𝗠𝗘𝗜𝗢𝗡𝗗𝗢𝗔 👀

    Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web . Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu → Messages → Device Pairing → Scan QR Code → Scan QR kwenye PC sasa mambo...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Katika kozi hatari za kusomea Tanzania ni za Computer. Kwa jinsi Ai inavozidi kukua ukikosa kazi Serikalini itakuwa ni ngumu sana kutoboa.

    Bado watu wa TEHAMA wataendelea kuajiriwa sio Rahisi kuondoa kazi za watu Bali itasaidia kurahisisha Kazi za IT 😁
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    😁😁 Si status tu au Kuna kingine umekiona
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Usinunue simu used kabla ya kuangalia haya!

    😃😃😃😃 betri sio shida zako
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Usinunue simu used kabla ya kuangalia haya!

    Hakika Teknolojia ni Yetu sote 🫡
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Usinunue simu used kabla ya kuangalia haya!

    Kabla ujaamua kununua simu Used tafadhari Kuna mambo Muhimu ya kuzingatia ili kuwa Salama kwa mwaka huu 2026. Simu inaweza kuwa imependeza, haina scratch na bei yake ni tamu… lakini ukikosea vitu hivi 3, unaweza kujikuta umenunua tatizo badala ya simu! 💀 👀 1. IMEI & LOCK Hakikisha IMEI...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗠𝗘𝗦𝗦𝗔𝗚𝗘 𝗜𝗠𝗘𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗠𝗔𝗕𝗔𝗗𝗜𝗟𝗜𝗞𝗢 𝗠𝗔𝗣𝗬𝗔

    Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi. Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02 Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa...
Back
Top Bottom