Recent content by tehamo09

  1. T

    JamiiForums Ushauri: Mume amenitamkia kuwa hanitaki

    Yote nimemueleza ila amekataa kabisa ila nikikaa baada ya muda anajirudi ananiambia ananipenda sana ila hataweza kuishi na mimi
  2. T

    JamiiForums Ushauri: Mume amenitamkia kuwa hanitaki

    nimeongea naye akaniambia yeye hana tatizo na mimi ila ndugu zangu ndo tatizo kisa wanatupush kila siku tubariki ndoa
  3. T

    JamiiForums Ushauri: Mume amenitamkia kuwa hanitaki

    watoto 3 hatujafunga ndoa
  4. T

    JamiiForums Ushauri: Mume amenitamkia kuwa hanitaki

    Habarini ndugu zangu, Jamani hapa nilipo nimechanganyikiwa mwanaume amenitamkia hanitaki na mimi moyo bado haujaridhia kosa silioni, nafikiria watoto roho inaniuma mpaka basi. Nataka nirudi tu nyumbani ila moyo unaniuma sana. Nisaidieni kimawazo nifanyaje?
  5. T

    JamiiForums Sijui nifanyaje ushauri

    Simuelewi huyu mwanaume kanianzishia gubu tu haongei na mimi wala kuwasiliana ukimpigia simu akipokea anakujibu anavyojua yeye kila kitu kwake ni lawama tu, mambo yake anafanya kimya kimya, sijui nifanyaje tupo mbali mbali ingawa tuna watoto watatu.
Back
Top Bottom