Recent content by tegeruka

  1. T

    Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Hana lolote nae uoga wa maisha ndio unamsumbua na kukubali kutumiwa Kama kondom.Afanye kama CGP Minja
  2. T

    Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Hapa bongo wakati fulani hasa utawala huu inakulazimu kuishi kama una usonji vile.Hahahahaaa
  3. T

    Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Hujateka lkn unajua siku mateka atapatikana!Hivi kinana amerudi kutoka alipoagizwa kwenye matibabu kwa siku 14?!Duh,wamuache tu hata kama ana sifuri na feki feki
  4. T

    Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne

    Wewe ndio balozi wa watanzania wenye akili finyu
  5. T

    Vikao vya bunge hatarini kufungwa kwa kukosekana pesa

    Bunge halina maana tena,Sizonje ndio kila kitu ni kama amekodishiwa nchi vile.Acha ajishebedue na bashite mpaka kifo kitakapowachukua
  6. T

    Vikao vya bunge hatarini kufungwa kwa kukosekana pesa

    Betina alitoa kwenda kuchangia elimu bure leo eti Bunge halina pesa...Duh,usonji wa kiwango cha standard gauge
  7. T

    Rais Magufuli aamuru Ney wa Mitego aachiwe huru na wimbo wake upigwe vituo vyote redio na TV

    Wala rais haihitaji kumpongeza kwa hilo maana yeye huyo huyo ndiye ameset mdundo wa kukurupuka au sagula sagula staili na hata wimbo wenyewe hauna kashfa kwa yeyote asiyefanya.Lakini kuna kiumbe humu eti kwa viwango vyake vya kolomije anaona rais ana IQ kubwa,tutatoboa kweli?!!!
  8. T

    Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Hana cha kuzungumza,eti kinana nimemtuma India kwa matibabu kwa siku kumi na mbili hotuba hovyo tu
  9. T

    Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Mitandao ya hovyo,vipost vya hovyo,rais wa hovyo hovyo tu!
  10. T

    Ripoti ya uvamizi Clouds hadharani: Makonda alitishia kuwaingiza kwenye skendo ya dawa za kulevya

    Makonda amekuwa anatumia ishu ya madawa ya kulevya kujipatia mali na kuwatishia wananchi Duh,halafu baba ubaya anamlinda!Baba ubaya utaondoka na jambazi lako Isee time will take its channel
  11. T

    Madhara makubwa ya kumtisha Rais wa Nchi!

    Si alisema ni rais anayejiamini!Kumbe boya tu,Asijidanganye kuwa anaweza kujiami ndani ya Tanzania yeye aanze kujiandaa kuondoka ameshafeli
  12. T

    Ili taifa liendelee, linahitaji kiongozi mwenye msimamo, Rais Magufuli katupa somo

    Msimamo wa kiboya,yaani vipande vya chupa Amazonas kuwa ni almasi na wewe zuzu unamshangilia
  13. T

    Anaandika kada mkongwe wa CCM kuhusu uamuzi wa Magufuli juu ya Makonda

    Kama hawana na ni genge la uhuni na umbea basi haina shaka kuwa hata watazamaji na mashabiki wake ni wahuni na wambea tu...Hakuna tz ya viwanda hapa!
Back
Top Bottom