Hello,
Kuna idea ya app ya habari worldwide naifanyia kazi, ningependa kushirikiana na mtu wa journalism. Itakua vizuri kama atakua mwanafunzi anayejua kuandika english nzuri, mwenye computer yenye access ya internet. Kama unahisi unafit unaweza kunitumia ujumbe.
Utaweza ndio, ila sio kwamba ndo utafundishwa kuwa developer chuo. Chuo wanafundisha vitu general sana sababu unatakiwa ku cover vitu vingi vya ICT mfano networking na mambo ya hardware.
Ili kufanikiwa ni wewe kwenda deep zaid kwenye software kivyako na kutumia chuo kama platform ya kukutanisha...
Weka metered connection,
Kama ni windows10 nenda kwenye settings->network&internet->Wi-Fi->[chagua jina la hotspot]->set as metered connection iweke on
Apo itazuia updates na background use nyingine
Mi nadhani tatizo kubwa apa ni kujilinganisha, napataga izo feelings mara kwa mara.
Kama ulimaliza 2012 possibly ata haujafikia miaka 30. Watu wengi wanaopata mafanikio makubwa on their 20's sanasana unakuta ni kipaji, familia, bahati au alianza anachokifanya siku nyingi. Ila wengine wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.