Recent content by Tech Africa

  1. Tech Africa

    E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

    Utaenda tu kwa service provider wako kama ni vida au Airtel Kisha watakuwekea
  2. Tech Africa

    Nani anafahamu wapi naweza pata Cassette Tape za kwaya za zamani?

    Habari wanajamii, natafuta Cassette tape au Kanda za kwaya za zamani kama: 1. Tumaini Shangilieni kwaya - Arusha 2. Barabara ya 13 - Uliyankulu 3. Mtoni Evangelical choir - Lulu 4. Kwaya ya Patandi 5. Vijana Mabibo Lutheran - Mzabibu Nitashukuru sana kwa yeyote atakayeweza kunifanikisha kupata...
  3. Tech Africa

    E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

    Inabidi uangalie Iphone yako kama ni version inayosupport Esim. Kuna baadhi ya model ambazo hazisupport Esim
  4. Tech Africa

    E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

    Zipo simu nyingi zinazosupport lakini kuna hii list nimeipata mtandaoni unaweza kuicheki; Apple iPhone 14 iPhone 14 Plus iPhone 14 Pro Max iPhone 14 Pro iPhone 13, 13 Pro, 13 Pro Max, 13 Mini iPhone 12, 12 Pro, 12 Pro Max, 12 Mini iPhone SE iPhone 11, 11 Pro, 11 Pro Max iPhone XS, XS Max...
  5. Tech Africa

    E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

    E-SIM ni teknolojia inayomsaidia mtumiaji wa simu kwa na laini zaidi ya moja kwenye simu hata kama simu hiyo inakisehemu kimoja tu cha kuweka laini. Vitu vya kuzingatia ili kuweza kupata huduma ya E SIM ni vipi? 1. Lazima simu yako iwe ina uwezo wa kupokea mipangilio ya E-SIM, kwa maelezo zaidi...
Back
Top Bottom