Waziri Lukuvi tunaomba ufike halmashauri ya ardhi Ifakara idara ya ardhi uone uozo uliopo pale. Unaomba kupatiwa hadi na unazungushwa pasipo kupewa maelezo ya kutosha. Maombi ya hati yabidi yaandaliwe Ifakara then yatumwe Morogoro kwa ajili ya kuandaliwa hati lakini matokeo yake wanakuzungusha...
Jamani bodi ndo imeamua kutuchunia sisi tuliokosa loan mana kulikuwa na tetesi kuwa ifikapo tar 1 mwez wa kumi wangetoa nafasi kwa wale waliokosa loan kwa priority facult kuomba tena lakin bado ni kimya.pia ni lin watatoa Batch nyingine ya loan naomba mnifafanulie wana JF mana chuo ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.