Ni vyema watumishi wakatambua kuwa wao wanaihitaji ajira kama ambavyo muajiri anavyowahitaji wao. Ilifika wakati kila mtu alijiona anasharubu, anagoma anavyotaka, anafanya kazi anavyotaka, haikujulikana muajiri ni nani na muajiriwa ni nani. Kauli kama hizi ni za kuwarejesha watu kwenye mstari na...
Hivi wewe, unafahamu kuwa hii nchi inawatu zaidi ya Mil 45?, na unafahamu kuwa watumishi wa umma hawazidi laki5? waliobaki ni watanzania wenye haki sawa na wewe mtumishi. Na hata serikali ikifungulia ajira unafikiri ni watanzania wangapi kati ya wenye sifa watazipata hizo ajira za serikali...
Unapochukua mkopo bank, huwa kuna kiasi fulani unalipia kama bima ya mkopo, bima ya mkopo hii hucover huu mkopo inapotokea mkopaji amefariki au amepata ulemavu wa kudumu unaomfanya ashindwe kufanya kazi.
Kwa case ya kuacha kazi, hapa inategemea,kuna wakati mwajiri anakuwa liable kulipa hilo...
Bila shaka watatumbuliwa muda si mrefu, Tumeshaamua kuhamia Dodoma hatutaki mtu atucheleweshe. Tunakuja Dodoma sio kuja kuugua Vipindupindu, tunataka kuja kuchapa kazi, tunataka uhakika wa maji, asiyetayari kulifanya hilo na aachie ngazi mapema kabisa.
Tambueni kuwa udaktari ni zaidi ya kukamata sindano na kumdunga mtu, udaktari ni zaidi ya kumuandikia mtu dozi ya malaria. Mkitaka kujua ni kwa kiasi gani hao watu mnaosema wanajua mambo mengi hivyo wapunguziwe muda wa kukaa chuoni waulizeni waalimu wanaowafundisha hao madaktari. Wanachokuwa...
Ahsante sana Baba Magufuli,,, hatuhitaji Darubini kuona umakini wako ndani ya siku chache baada ya kuingia Ikulu. Tanzania ya leo na kesho zitakukumbuka Daima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.