Mama Leo ameupiga mwingi kweli kweli, machawa nadhani hawakutarajia hivyo mama ameamua kuwapoza kwa kutambua uwepo wao😅
Lakini Kama nchi/taifa, ni mwanzo mzuri hasa kwa mwaka huu mpya 2023.
Mkuu ajira za serikali ni Kama mchezo wa potea pata, Ingekuwa ni kitu Cha siku moja unavyodai hapo ungeeleweka, lakini kwa jinsi Hali ya ajira ilivyo, mtu unaweza kushiriki usaili zaidi ya kumi kwa mwaka mmoja na bado usitoboe kabisa, unajua maana yake?
Hizo modules unazosema hazifanani na hizi...
Mdau ana hoja ya Msingi na anapswa kusikilizwa na wahusika wa upangaji wa ratiba za usaili.
Iweje katika ngazi zote za elimu(Msingi/secondary/chuo n.k) hili suala la jumamosi (siku ya ibada kwa wasabato) linazingatiwa lakini linapokuja suala la uasili za kazi serikalini isizingatiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.