Recent content by Teacher scorpion

  1. Teacher scorpion

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya vijana kukosa nafasi za kusoma

    upo sahii kabisa but mfumo uliokuwa unatumika 1975 mwanafunz alikuwa anapimwa kwa njia gani ni the same na sasa tatizo wanafunzi wasikuizi wapo kidigitali sana mwanafunzi utamkuta muda wote fb,inst,jf etc.sasa jiulize atakuwa na uelewa darasani huyu but wapo baadhi yao wanaitumia teknolojia...
  2. Teacher scorpion

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya vijana kukosa nafasi za kusoma

    Nipe mfumo ambao unatakiwa utumike kujua mwanafunzi huyu ameelewa sio siasa..!!! Kama umeelewa utafeli vp mtihani wewe unaweza kukariri hesabu na kufaulu mtihani kama niivyo mashuleni wasingefundisha mngepewa mavitabu mkariri atakama ujaelewa then mtihani?
  3. Teacher scorpion

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya vijana kukosa nafasi za kusoma

    Alama zipi ziwekwe na mfumo upi utafaa labda tufahamishane !!!! ...coz kokote kule uendapo mwanafunzi anapimwa kupitia mitihani.
  4. Teacher scorpion

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke si bure, pepo linamsumbua

    Chakula hicho we kula tuuu!
  5. Teacher scorpion

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya vijana kukosa nafasi za kusoma

    Tutakujua vipi kama umeelewa !!!! Paper ndio litaongea umeelewa au vp ?
  6. Teacher scorpion

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya vijana kukosa nafasi za kusoma

    Hata kama ajafaulu na hana vigezo....basiiiii mororooooo
  7. Teacher scorpion

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya vijana kukosa nafasi za kusoma

    elimu sio nguo kila mtu Avae...
  8. Teacher scorpion

    JamiiForums Tanzania Smartphone

    Nimeipenda hiyo smartphone
Back
Top Bottom