Habari zenu wakuu,
TCU wameruhusu maombi ya mara ya tatu ikiwa bado baadhi ya vyuo mfano Mzumbe Mbeya, NIT hawajatoa majina ya second round. Je, kwa walio na taarifa profile ya mtu anayetakiwa kuomba third round ina taarifa gani?
Habari wadau wa Jf
Kama ulifanya second round application ya TCU siku za nyuma ulikuwa ukijaza course 4 ilikuwa huwez tena kuongeza ya 5 lakini cha ajabu jana nilipoclick "make second round application" ilikubali kuongeza course ya tano na kufanya machaguo kufikia 5. Kwa wale wenzangu na mie...
Habari zenu wadau!?
Katika tangazo lililotolewa na TCU juu ya hatua za kufanya second round application wameonesha unaweza kujaza hadi vyuo vitano kwa wale waliokosa first round application lakini ukifanya inakuja option ya kujaza tu chuo kimoja. Na ukibofya sehemu ya kuangalia rejected reasons...
Nilipokuwa napitia Guide book ya Diploma Holder kuna sehemu palikuwa pananihitaji ku-apload Certificate na Transcript ila wakati nafanya application baada ya kujaza chuo nilichosomea diploma, Jina la program niliyosoma, mwaka niliohitimu na Registration number...moja kwa moja nilipelekwa katika...
Sio nia yangu kukipigisha story ila kabla ya kuomba ushauri nilijaribu kupitia prospectus za baadhi ya vyuo nikakuta kuna baadhi ya watu walianzia cheti hadi kuwa prof..nikahisi kumbe muda si kitu ili mradi uwe na dhamira ya dhati ya kusoma. Binafsi najua kabisa nimeishapoteza miaka 3 darasani...
Habar zenu wana JF?
Nikiwa na uhakika bila shaka, ni matumaini yangu kuwa nitapata msaada ili iwe rahisi kutatua huu mkwamo wa kifikra.
Mimi ni mhitimu wa BSc. Education (chemistry/biology) nikiwa na G.P.A ya 3.9 kuna wakati nawaza je, nijiendeleze katika ngazi ya masters degree au nianze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.