Recent content by tchalla

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    pole
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    tafuta password hapo kwenye kisses na touch umgegede (japo haitakuwa kimasikhara) ukizembea utamkosa.
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hilo ndio lengo tuhame mikoa mchepuko wangu abaki salama asijulikane yupo mkoa gani
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nitajiweka code ili nisije nikasababisha mhusika kujulikana. Wiki iliopita nilisafiri kikazi mpaka mkoa jirani na hapa nilipo na nna miaka mingi sijafika huko. Muda huo nilikuwa na zoom meeting ikabidi nitafute lodge nipate utulivu wa kuchangia maoni yangu kama mshiriki. Nikapata lodge moja...
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Interview ya udaktari wa chuo au?
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa na mchepuko wangu mama J muda huu

    Hapana mkuu wasiachane maana drama za mama j ni noma, huwa naenjoy kuzisoma
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kutangaza ndoa, mchumba wangu kaniweka wazi ni single mother, upendo umeyeya nafikiri kumuacha

    Kosa lake huyo dada ni kutokukueleza mapema ili ujue kama utaendelea nae au usiendelee nae. habari za baba alikwambia sijui hiki au kile sio za kutuletea huku ungemaliza mwenyewe. Sasa kilichopo mkuu we jipe muda wa kufanya maamuzi pitia comment za watu jiridhishe kwanza ndio uamue rasmi.
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umeshindwa kuandika doubt leo 2022 halafu unashangaa mtu kuwa na simu na email miaka ya 2000 mpaka 2009? Ngoja nikusaidie nimefungua email mwaka 2005 kabla hata sijaingia form 1, mwaka 1999 mzee wangu alikuwa na simu na line ilikuwa ya mtandao unaitwa Tritel. Siku nyingine epuka aibu kama hizi.
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilipokoswa koswa kuambukizwa UKIMWI nikiwa mdogo

    Mwaka 2000 tulitembelewa na family friend akiwa na watoto wanne, wawili wa kwake na wawili wa dada zake. Wakati wazee wanapata bia sisi watoto tukawa tunacheza room kwetu. Home tulikuwa wavulana tu na yule mama mgeni alikuja na mabinti tu. Tuligawana kila mtu na wa kwake mi nikampata first...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Death on the Nile: Wazungu na mahesabu ya hela, waafrika na ukali wa vitabuni

    Hercule Poirot story zake zimeandikwa miaka ya 1920 kwa hio Agatha Christie hahusiki kuandika hizi movie mbili, Murder on Orient Express na Death on the Nile. Mchango wake ni katika kutengeneza character ya Hercule Poirot ambaye ni mpelelezi.
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wako wa kwanza ulimpataje? Soma kisa Changu

    Mi nilikosakosa kuupata kwa binti aliezaliwa nao na ilikuwa 2000 au 2001
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuwa na mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 3 nahitaji kuachana naye, nimuachaje bila yeye kuweka kinyongo?

    Ulikuwa ushapanga script yako yeye akakuvuruga zaidi 😁😁. Hongera kwa extend penzi.
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Inategemea lodge uliopo na idadi ya wateja kwa muda huo
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyeshiriki naye ngono kakutwa na VVU, nina hofu japo tulitumia kinga

    Ulizama uvinza?
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimesamehe lakini sitasahau

    Yaani uoe mwanamke kutoka jf ana mtoto halafu arudiane mzazi mwenzake wawe wanagongana wao ila wewe ulee mtoto wao? Hizo akili za wapi? Siwezi kudhalilisha elimu na mizimu yangu kwa wakati mmoja
Back
Top Bottom